Home sweet home -- bongo wera weraaaaaaaaaaaaa.

FirstLady1

JF-Expert Member
Jul 29, 2009
16,792
5,374
img_3300.jpg

7-28%20Samousa,%20pondu,%20fufu,%20plantain%20&%20other%20African%20food_JPG.jpg

DSC00823.JPG

DSC00821.JPG

d5p5.jpg

5.jpg


ama kweli kwetu mambo tambarare kwa sana :A S 39:
 
Aghaaaaaaaaa FL1 mambo gani ya kutamanishana wakati wa lunch bado? Ila hii menu inatisha sana tu maana, hapa mimate kibao bana.
 
tusife kwa hypertension masihara! chakula chote ni protein na starch plus kilo ya mafuta ..............
 
Da! kwa bahati mbaya kwangu picha haipokei, zinatokea alama ya X nyekundu.
Nimekosa uhondo.
 
Ubarikiwe F1 saa ya lunch hii umenipa appetite ya kula leo ofisini maana huwa mvivu kweli.
 
Mie ningeanzia kwenye ugali na samaki naona pia kuna nyanya chungu pembeni, lakini siku hizi hata majuu vyote hivyo vipo. Thanks to wahamiaji.
 
duh njaa inauma,we FL1 wewe unatuumiza matumbo wenzio,hiyo misosi daah:A S tongue:
 
PROTINI na STACHI kwa wiiiiiiiiiiiiiiingiiiiiiiiiiiiiiiiiii!

Mboga za majani na matunda kiduchuuuuuuuuuuuuu!

Kweli bongo menu weraweraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
PROTINI na STACHI kwa wiiiiiiiiiiiiiiingiiiiiiiiiiiiiiiiiii!

Mboga za majani na matunda kiduchuuuuuuuuuuuuu!

Kweli bongo menu weraweraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa


Si afadhali hizo mboga za majani kiduchu zenye ladha na hali nzuri....kuliko hizi za ughaibuni kwanza si organic halafu zimekaa kwenye jokofu yaani unapokuja kuinyakua mmh...yaani unajisemea mwenyewe this is just for the sake of kuwa na greens kwenye msosi!

Vyuku ukivinunua kwanza,au nyama yeyote lazima kwanza uanze ku-deal na zigo la mafuta...ah...hakuna vitu vitamu nje ya nchi jamani...pamoja na matatizo yote msosi huko nyumbani...dah...I miss home!
 
Thanks FL1, siku zote chakula cha nyumbani ni cha pekee!!! yaani nimeona hapo mlikula mamabo hayo katika nyakati tofauti from 2002 to 2010

enjoy while you can!!
 
Safi sana makande hayo FL1..Mama zangu wanayaita Pure..Jirani zangu wakikuyu wanaita Githeri
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom