Home clearance

Penguin-1

JF-Expert Member
Apr 30, 2012
406
64
Wakuu,
anayehitaji moja ya bidhaa hizi ani PM
Majadiliano yapo.
0655123683
0759123683
Safisha Nyumba mimi...


BidhaaBeiMaelezo Zaidi
Dish Futi 6 na decoder yake(Mediacom)180,000Madishi ya Free To Air FTA ,decoder ina usb port ,pia sehemu ya kuweka smartcard
Dining Table + viti 8250,000Ilinunuliwa Keko
Kabati Kubwa la vyombo(2m)-milango ina vioo500,000Limegawanywa mara mbili juu na chini
Makochi seti 7(2 +3 +1 +1)350,000Yatahitaji kusafishwa(toto chafua na peni)
keko product
Coffee Table na stuli zake50,000keko product

DSC00124.JPG
 
Unahitajika kufafanua kama friji ishafunguliwa, aina gani? Makochi ni leather, dining table za mninga, mpodo etc
 
Unahitajika kufafanua kama friji ishafunguliwa, aina gani? Makochi ni leather, dining table za mninga, mpodo etc
Fridge imefunguliwa na imetumika for like 6months ,makochi yana leather kidogo + kitambaa ,dining table sina hakika na mbao tumika ,ila source ni keko. Asante
 
Hayo makochi yametengenezwa wapi,unaweza kuweka picha tafadhali,kabla hatujaendelea
 
Biashara matangazo mkuu, weka picha kwani maneno matupu hayatoshi.
 
Mkuu nimekusoma saw a sawa..Hizo bei ni za bidhaa mpya jaribu kushuka kidogo Nije kuvichukua vyote JMosi asubuhi.
 
Hayo makochi yametengenezwa wapi,unaweza kuweka picha tafadhali,kabla hatujaendelea
Makochi nilinunua Keko Mkuu,
picha nimenza ku-upload
 

Attachments

  • DSC00111.JPG
    DSC00111.JPG
    130.4 KB · Views: 139
  • DSC00112.JPG
    DSC00112.JPG
    140.7 KB · Views: 92
  • DSC00113.JPG
    DSC00113.JPG
    79.9 KB · Views: 155
  • DSC00114.JPG
    DSC00114.JPG
    85.3 KB · Views: 131
  • DSC00115.JPG
    DSC00115.JPG
    116 KB · Views: 108
  • DSC00116.JPG
    DSC00116.JPG
    140.1 KB · Views: 117
  • DSC00117.JPG
    DSC00117.JPG
    92.4 KB · Views: 147

Similar Discussions

Back
Top Bottom