Home Boyz From Pemba

X-PASTER

JF-Expert Member
Feb 12, 2007
11,610
1,809
Many Africans especially people from Bongo na kule visiwani have been travelling abroad to seek good life. Wengi wamejiripua (?!). Mhh....! Unashangaa shauri yako, Mzaramo anasema "Karaga baho na ubonzi wako" Ndio! Lazima wawashukuru wasonjo au sio bwana... Vita vya Panzi faida ya Kunguru..., ukiwaacha wale waliojipa na kupata MAKARATASI na Wakijitia kuwa hawana uwezo wa kufanya kazi wakisubiri Friday kwenda social kuchukuwa mshiko. Usishangae sana watu wanazaana sana ulaya, kuna faida yake Ooh! Nyie kaeni tu na uzazi wenu wa nyoka ya kijamaa, I mean nyota ya kijani... lol

Sasa basi Kuna kina wale ambao mambo yao si super yaani kesi zao bado hazina majibu ya kueleweka. Hawa sasa lazima waazime paper za kutafutia rizki, na kazi zao ni kufunga maboksi na kazi za ujenzi, Pub attendant, wherehouse au sio bwana..., hizi kazi zinalipa si mchezo Ooh!

Unfortunately, some of them can't find decent jobs and find themselves doing the rat race or funny jobs just to make ends meet.

So one of them from visiwani finds a job as a zoo attendant.

But as there are not many wild animals in UK zoos those time, the institution decides to hire people and have them pretend to be zoo animals. Dressed in real animal skins so as to keep zoo attendance figures up.

Our Mpemba's friend happily takes up one of the jobs, dresses up in a Chimpanzee skin doing all sorts of acrobatics swinging from tree to tree. Si unajuwa tena ulaya hakuna kuchagua kazi...

As he is busy entertaining people, he accidentally falls in a lions den. The lion roars so loudly that the "Bwana Chimp" shouts MAMAA Weeeeh!! NISAIDIENI!! NAFA LEOoOoOoo!

Then the lion approaches the ALMOST DEAD "Chimp" and says

"Wacha Keleleee Wee-Yeee mimi MPEMBAA Mwenzako..."

For the resident the event on that day ticket sales almost doubled!! kwa sababu people thought it was a unique thing to see a Chimpanzee chat with a lion.

Yet till now, nobody knew that those animals were well and trully HOME BOYS from Pemba.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom