Holiday season..!

Safety last

JF-Expert Member
Mar 24, 2011
4,227
1,389
Tafiti zisizorasmi zinaonyesha hiki ni kipindi wanawake wanatongozeka kirahisi tofauti na wakati mwingine katika mwaka,so badboys na alpha man wote mliosingle huu ndio msimu wenyewe si unalalamika hupendwi wakati unatongoza wakati wa mazao yako shambani, ni mtizamo tu unaweza ukathibitisha mwenyewe!
 
Inabidi muanze kutongoza with an air ticket, si mmeona mchakato wetu wa kupelekwa spain for holidays?
 
King'asti wewe si una ndege yako tayari? hahahahah lol! Ukiweka 200km/per hour na ile mashine yako yenye nguvu basi unahitaji masaa machache tu kuzuka katika jiji lolote lile EU :):)
 
Baba, hii ndege yangu haivuki maji,ndo tatizo. Afu usisahau kama mi nna ndege inabidi nipate kibabu chenye boeing kabisaa! Tunasafiri wawili tu, marubani wetu 2 na air hosts 2, baaasi! Chezeya airforce 2 eeh?

kingasti mbona unachakachua mada...
 
We ukiweka mbawa tu utaona inavyofanya vitu vyake, :):):) vibabu achana navyo banaaa. Kuna mdada mmoja (yuko Dar) bomba sana yaani Mungu kampendelea yule dada ana kibabu chake lakini hana hata raha ingawaje kibabu kimemfanyia vitu vingi mno. Ana machine moja kama ya kwako akiingia mle ndani anapendeza sana lakini wala haogopi kusema kwamba hana raha ya kuwa na kibabu ila anaogopa kuwa na njemba maana kibabu kikijua anadai kinaweza kumkimbia naye atashindwa kujitunza maana yupo yupo tu.
 
Sasa mie raha yangu ni kua 'sipo sipo' kama huyo mdada! Kwa hiyo kibabu kinakuwepo na small house (The Boss, 2011) kama 2 hivi. Sina nafasi ya kukosa raha. Aisee hebu nifanyie mpongo niende hiyo gereji yako nikafungwe mbawa. Ila sasa kwa km 200/hr huko spain si tutafika mwakani? Manake shurti kujaza mafuta zenj, then madagascar,kha! Ama kuwe na jet ya US ARMY inakuja kunifuel hewani kama zile ndege za jeshi?

hahahahah lol! kuna mahali wana utaalamu wa hali ya juu wa kuongeza ukubwa wa tangi ambao unaweza kufika mpaka Dubai :):) na pia kufunga mbawa :):) pale unaweza kulala kwa siku mofa na kufanya shoppingi ya nguvu kabla ya kuruka hadu jiji ulitakalo EU. Kuhusu "sipo sipo", nilitaka nikwambie usome signature yako lakini naona umeiondoa :):)

SL, mi sijachakachua, post #3 nimesema tunapatikana holiday hii bt vekesheni inahusika. Ww sema nikuinbox passport name na fully filled visa forms upeleke mwenyewe kulipia hiyo visa. Achana na maswali ya BAK,asipouliza hatajifunza
kingasti mbona unachakachua mada...
 
Si unajua kichaa cha paw ni cha msimu,atakua kaifitini hiyo siginecha yangu,nitamshtaki kwa invisible. Ndege yenyewe inatumia solar power, sasa unihakikishie uwepo wa jua huko spain nijilipue. Jicho moja sijafunga, naona Safety Last kama ananifikiria vilee, usihofu usalama nitasimamia mwenyewe,lol
hahahahah lol! kuna mahali wana utaalamu wa hali ya juu wa kuongeza ukubwa wa tangi ambao unaweza kufika mpaka Dubai :):) na pia kufunga mbawa :):) pale unaweza kulala kwa siku mofa na kufanya shoppingi ya nguvu kabla ya kuruka hadu jiji ulitakalo EU. Kuhusu "sipo sipo", nilitaka nikwambie usome signature yako lakini naona umeiondoa :):)

  • Thanks
Reactions: BAK
Naskia Dar season imeshaanza na snow zinadondoka, jamami biashara ya makoti inahusu sana Dar kwa sasa.
 
Back
Top Bottom