¡Hola amigos. ¿Que tal?

Hehehe...... I was just kidding... French na Spanish najua kwa kiasi flani (sio sana). But nataka kuzi master pamoja na lugha nyingine zilizo kwenye list yangu
Duuh !! Nahne, Mkuu ukizimasta nao Ban ki Moon na UN watakukimbilia fasta "multiMkalimani"
Good luck
 
others wanasema French yeah French is beautiful bt its hard... Spanish ya Mexico ndio inapendwa zaid cz kama imemix na English and the way thy talk.."
Kiitaliano kwangu kinaonekana kiko romantic sana, hasa wanavyotamka. Unaweza ukapata demu kwa kuongea tu, tena unaweza ukawa unamsimulia stori za mauaji ila yeye kwa matamshi tu akaona romantic.
French nakijua kiduchu sana na huwa najaribu kuangalia Ftance 24 English na Tv 5, siwapatagi fresh sana ila lafudhi yao ni nzuri ila haifui dafu kwa kiitaliano ambacho sijui hata neno moja.
Mtazamo wangu.
 
Sasa ukitaka kuenjoy.......muitaliano awe kakasirika anagomba.......halooo.....zile fan.....ro.....nini nini madona......utapenda.........
 
Ola to do bem...?..esta no Mociomboa de praia......Madre...hoje e dia de mulher mozambicano....esse Meninas esta com Kapulanas tas linda bem,esta ir no praia para ver com fiqar com bikinis.....parabens dia de mulher todo qeridas!
 
Portuguese.......bueno......
 
Ni zaidi wa kimaneno na kilafdhi ( kiswahili cha kawaida na kitanga) ila kwa wanafahamiana sana kwa maana lugha ni ile ile . Latin amerika yote wanozungumza kihispania, wanafahamiana.
 
A final Portuguese e spanhol usam mesma lingua? Nao sabia.

Hoje aprendi uma coisa importante.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom