Hoja zinazoanzia magazetini zinakuja JF, Je hoja zinazoanzia JF zinaishia JF?

MPadmire

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
3,928
3,225
Swali, mara nyingi naona hoja nzuri humu lakini naona hazifiki print media. kama magazeti lakini naona hoja zinazotoka magazetini zinaletwa huku.
 
Jamii iko juu,
tunachukua kutoka magazeti kisha tunazichanganua kwa kina maana zinakuwa ni data (most of them)
lakini huku JF hoja zinaanzia kwenye data hadi kuwa information huku huku.
sasa kitu kishakuwa information hakiuziki sokoni, na magazeti yako kwa ajili ya kuuza.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom