hoja za tcu kuhusu selection kuchelewa

kingxvi

JF-Expert Member
Feb 11, 2011
879
150
wanafunzi wa mwaka huu wana viherehere sana vya kwenda vyuo ili na wao angalau waweke record walifika chuo
 
Kwa kweli,labda kwa sababu ni watoto wa TCU maana sisi wengine tulianza chuo kabla ya TCU haijaingilia udahili.
 
Unajua usije ukajifanya mgonjwa wa akili kwenye hodi ya vichaaaa.........0ver
 
Tupo hapa tulipo kutokana na uzembe wa viongozi wetu na wananchi ambao ni wazito wakufikiri na kureasons kama wewe mkuu hupaswi kusema hayo maneno think about it over.
 
Back
Top Bottom