ITEGAMATWI
JF-Expert Member
- Jan 26, 2012
- 5,310
- 4,040
Basi suala langu wala halijagusa Muungano wenu.
Kama umenisoma vizuri nimepita nje ya Muungano wenu na ndio maana nikabainisha harakati za kuundwa kwa Serikali ya Tanganyika ndani ya muungano.
Suala langu nimeuliza Hivi KWANINI NYERERE ALIKANA KUANZISHWA KWA SERIKALI YA TANGANYIKA NDANI YA MUUNGANO?
ALIKUWA NA SIRI GANI?
Kumbe wewe si miongoni mwa nchi hizo zilizoungana ( Tanganyika na Zanzibar) sasa kinakusibu kipi tena yakhe kuuliza yasiyokuhusu?