Kwani kuanzishwa kwa Serikali ya Tanganyika ndani ya Muungano wenu kungeathiri nini uwepo wa Zanzibar na Tanzania?
teh teh teh... WildCard, wengine wanasoma mambo nusu nusu tu ili kukidhi haja zao. Wanasahau nchi hii Nyerere alikuwa raia kama mwingine yoyote ila tu alikuwa amepewa dhamana ya uongozi. Na hatima ya nchi hii haiko kwenye mikono ya Nyerere bali iko kwenye mikono yetu sote kama raia.
Sasa kelele kuhusu muungano na Nyerere zinasaidia nini wakati kama hatuutaki muungano uwezo wa kuukataa uko kwenye mikono yetu na sio Nyerere aliyekufa miaka 13 iliyopita?
Ndahani,
Nilizobainisha ni harakati za kuunda Serikali ya Tanganyika ndani ya Muungano wenu. Na harakati hizo zote mbili zilikwamishwa na St Nyerere.
Sasa kwa kuwa yeye ndiye aliyekuwa muasisi wa Muungano wenu. Sasa suala langu linadondokea hapo KWANINI ALIKATAA KUUNDWA KWA SERIKALI YA TANGANYIKA NDANI YA MUUNGANO WA TZ?
Buji Buji,
Si unajua kwenda kuliangalia Kabuli la St Nyerere ni lazima ulipe kiingilio. Sasa mimi sina pesa za Kiingilio.
Na siwezi hata siku moja kutoa pesa yangu ili kwenda kuona Kabuli. Hata nilipotembelea Agra (UP) kule India, kuona Taj Mahal sikulipa kiingilio.
lakin ni suala la msingi sana hususan kwa WaDanganyika.
Soma Post No. 13 hapo juu au haulitaki jibu hilo?Ndahani,
Nilizobainisha ni harakati za kuunda Serikali ya Tanganyika ndani ya Muungano wenu. Na harakati hizo zote mbili zilikwamishwa na St Nyerere.
Sasa kwa kuwa yeye ndiye aliyekuwa muasisi wa Muungano wenu. Sasa suala langu linadondokea hapo KWANINI ALIKATAA KUUNDWA KWA SERIKALI YA TANGANYIKA NDANI YA MUUNGANO WA TZ?
Do you wage a war fighting the deceased Nyerere or you want to change union's status quo? Those two issues are very different and not compatible at all. Ninachokiona ni personal grudges against Nyerere na sio muungano na matatizo yake kama tunavyoambiwa. By the way, wazanzibar kama partners wa muungano wanaweza kuuvunjilia mbali kwa kukataa kuendelea kuwa sehemu ya muungano. Mnachelea nini kuchukua hatua hizo???????
Mkiuvunja muungano you will have platform to talk all those you think against Nyerere. Hapa tulipo ni uongo na unafiki na tamaa ya madaraka tu ndio inakuwa msukumo wa makelele mengi tunayoyasikia.
Muungano wa kila watu na UTAIFA wao ni muungano kweli? Muungano wa aina hii uko wapi hapa duniani?Nilipo RED.
Hata waTanganyika mna nafasi hiyo na kikubwa zaidi mnapaswa kudai utaifa wenu ndani ya Muungano wenu.
Au kwa kuwa St Nyerere alikataa katakata Serikali ya Tanganyika nani ndio mpo naye kwa hilo? Suala linarudi pale pale kwanini mnakataa kuundwa kwa Serikali yenu ndani ya Muungano?
Nilipo RED.

We don't have anything to lose...nyinyi mnaolia lia mnadhulumiwa ndio mnapaswa kuamua hima hima mtoke haraka. Mlalamike nyie, sisi ndio tuamue? Ustaarabu wa wapi huo?
Walichoshwa na kauli na matendo kama haya ya Maalim na Jussa wakati ule yakifanywa wazi na "commando" Salmini.Je unajuwa kati ya wale wabunge 55 waliodai Serikali ya Tanganyika. Wa Znz walikuwa wangapi?
je unajuwa kwanini walidai Serikali ya Tanganyika?
Serikali ya Tanganyika haikuhitajika tangu tarehe 26.04.1964. Kama ambavyo TANU na ASP havikuhitajika tena baada ya CCM kuundwa. Mnaitaka sasa ili iweje? Msiwapotezee muda WaZanzibari. CUF ina WABUNGE wa kutosha ndani ya Bunge la JMT. Walete hoja ya kuumaliza MUUNGANO haraka. BLW halitamsaidia Jussa au yeyote mwingine kulimaliza suala hili kama mnavyotaka.Basi suala langu wala halijagusa Muungano wenu.
Kama umenisoma vizuri nimepita nje ya Muungano wenu na ndio maana nikabainisha harakati za kuundwa kwa Serikali ya Tanganyika ndani ya muungano.
Suala langu nimeuliza Hivi KWANINI NYERERE ALIKANA KUANZISHWA KWA SERIKALI YA TANGANYIKA NDANI YA MUUNGANO?
ALIKUWA NA SIRI GANI?
Basi suala langu wala halijagusa Muungano wenu.