Hoja za Chadema zinapojibiwa kwa MATUSI, [video]

Majasho

JF-Expert Member
Aug 4, 2009
413
220
Ndugu wana JF naomba mtoe muda wenu kido msikilize huyu Mbunge wa CCM akijibu hoja kwa matusi. Hata kama Chadema nao walitukana, hii sio suluhisho kabisa, ni aibu.

i am very disapointed with such a shameless statements pronounced infront of grown ups and children by the mp.
Lusinde, you are so stupid. Such words cannot be uttered by such a grown person like you let alone an MP.You are disgusting man. And am assuring you, you will never get back into parliament.I think you lack some senses, seek some medical advice please.Unazungumza maneno ya kipumbavu mbele za watoto.Shame on you stupid mp.
 
Last edited by a moderator:
Duh...! Siwezi kuamini kuwa huyu ndiye aliyemwangusha Mzee tinga tinga! But on the other hand kama anadai Chadema wana mimba, sijui yeye ana nini maanake hilo tumbo, labda atapwaya tu kwa akina Komba na Wasira! Hata hivyo simshangai huyu kwani aliwahi kutoa kauli bungeni ya kutaka milango ifungwe ngumi zitembee na kwa kweli bunge letu linanajisiwa na mijitu dizaini hii. Kinachosikitisha zaidi ni kule kuwaona na kuwasikia wana CCM wakimshangilia huyu mwehu kila anapoporomosha matusi tena mbele ya watoto. Ngoja niwaachie uwanja akina Rejao, Ribosome na wengine lakini ukweli ni kwamba kujiita mwana CCM hivi sasa kunahitaji ujasiri wa pekee !
 
Poleni watanzania! Kwa mtindo huo wa ushabiki wa siasa uchwara, bado safari ni ndefu! Umaskini na dhiki mnajitakia wenyewe! Iwapo watanzania mnamchagua mwendawazimu kama huyu kuwa kiongozi wenu hata haiingii akilini! Huu ni wakati wa mang'amuzi na mabadiliko ya kweli na ya dhati!! Viongozi wa sampuli hii hawafai hata kuwahudumia mataahira!! Ama kweli!!

Nimeamini sasa kwamba hakuna utawala wa sheria Tanzania. Huu ni ushahidi wa kutosha wa kumtia mtu hatiani na chama husika kupewa pingamizi. Kwa ushahidi huu, tume ya uchaguzi nayo inasema nini kuhusu hili? Tume inaruhusu mambo kama haya katika kampeni!
 
Ana elimu gani huyu? Mbona kauli kama hizi ni za mtu mwendawazimu ambaye hata hajaenda shule? Huyu ni mbunge kweli? Waliomchagua wanahitaji kutubu!!
 
Mimi nimesomea psychatric anaysis,ukimuangalia huyu bwana facial explanation wakati anaongea hakuna swali sio mzima,ana matatizo makubwa kichwani ,kama sio msuba basi ni kichaa cha kurithi,CHADEMA as one of the startegy 2015 pelekeni makada wa kutosha jimboni kwa huyu bwana na aporomoshe haya matusi mbele ya wazazi wake,nadhani kwa Arumeru amewadharau sana,hata kama ni kichaa hawezi kuongea hivi mbele ya kinsmen wake.
 
huyu jamaa niwakuombewa wakuu,
Mungu anabadilisha watu, Hope atabadilika tuu na kutubu,
ANAONGEA YOOTE HAYO KIPINDI CHA KWARESMA
 
He must be drank; siyo akili zake na hata hao wanaomsikiliza siyo wazima kichwani
 
Ndugu wana JF naomba mtoe muda wenu kido msikilize huyu Mbunge wa CCM akijibu hoja kwa matusi. Hata kama Chadema nao walitukana, hii sio suluhisho kabisa, ni aibu.

i am very disapointed with such a shameless statements pronounced infront of grown ups and children by the mp.
Lusinde, you are so stupid. Such words cannot be uttered by such a grown person like you let alone an MP.You are disgusting man. And am assuring you, you will never get back into parliament.I think you lack some senses, seek some medical advice please.Unazungumza maneno ya kipumbavu mbele za watoto.Shame on you stupid mp.

Maskini CCM kifo cha nyani ni miti yote kuteleza na Ole wa Sendeka na vita yako dhidi ya ufisadi tayari kwa kumnadi Lusinde umeonyesha wewe ni nani na mwafanya nini na nchi yetu. Twawatakia kifo chema kisiasa na kama hamjajua kama mnaendelea kujichafua, basi ibeni na kura huko Arumeru ila siku ya siku mtakiona cha mtema kuni. Fuatilieni au msifuatilie wanaotoa maoni yao, lakini utu wa mtu ni kitu cha maana kuliko nafasi za kipumbavu na kijinga ndani ya serikali ya wananchi wa Tanzania ambayo lazima siku moja itaisha tu
 
Last edited by a moderator:
Mimi nimesomea psychatric anaysis,ukimuangalia huyu bwana facial explanation wakati anaongea hakuna swali sio mzima,ana matatizo makubwa kichwani ,kama sio msuba basi ni kichaa cha kurithi,CHADEMA as one of the startegy 2015 pelekeni makada wa kutosha jimboni kwa huyu bwana na aporomoshe haya matusi mbele ya wazazi wake,nadhani kwa Arumeru amewadharau sana,hata kama ni kichaa hawezi kuongea hivi mbele ya kinsmen wake.
Hapana jamani kanda hii itengenezwe na kuandikwa SERA ZA CCM kwa WATANZANIA maana huyu ni mjumbe wa NEC na nimwakilishi wa wananchi na nimtunga sheria kwa mjibu wa katiba yetu. Anaitwa Mheshimiwa na siku wanapitisha kuitwa neno mheshimiwa waligongana kama wakenya wakitaka waitwe watukufu!!!! Tanzania yetu ndiyo hii!!!

Katika kampeni zote za CDM tumieni kanda hiyo na baada ya hukumu ya Arusha itumieni kuwavua magamba waliokataa kuvuliwa magamba ili TZ iwe bila magamba na mafisadi
 
siamini kama Mbunge anaweza kutukana kwa heshima aliyopewa ya kuwakilisha wananchi wa jimbo lake............
 
Hivi sheria za nchi zinasemaje kwa mtu anayetukana hadharani?

Lema na Dr slaa hawawezi mfungulia kesi?

Ndugu wana JF naomba mtoe muda wenu kido msikilize huyu Mbunge wa CCM akijibu hoja kwa matusi. Hata kama Chadema nao walitukana, hii sio suluhisho kabisa, ni aibu.

i am very disapointed with such a shameless statements pronounced infront of grown ups and children by the mp.
Lusinde, you are so stupid. Such words cannot be uttered by such a grown person like you let alone an MP.You are disgusting man. And am assuring you, you will never get back into parliament.I think you lack some senses, seek some medical advice please.Unazungumza maneno ya kipumbavu mbele za watoto.Shame on you stupid mp.
 
Last edited by a moderator:
Hiv kama wafuasi wa chadema wangeshikwa na jaziba na zani arumeru ingekuwa kama misri.kiongoz mkubwa ambaye anawakilisha watu.anasimama jukwaani nakuonge upuzi. Ni ajabu jamani.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom