Hoja za CHADEMA zajibiwa na dagaa ndani ya CCM

Ringo Edmund

JF-Expert Member
May 10, 2010
4,879
1,125
Nmesikia viongozi ndani ya ccm wakijibu hoja za zitto kuwa ni za kichochezi na zinaweza kuleta machafuko na umwagaji damu,siingii kwenye hoja za Nasari kwa sababu mwenyekiti wa chama alishalitolea msimamo wa chama hata kama ccm wanajifanya viziwi na hata jalada lake lipo kwa dpp kama si polisi.
Nije kwa hili la zitto madai ya Zitto si ya kwanza kuyatoa na kujibiwa na ccm,tunakumbuka ya buzwaji,benki kuu,waziri wa fedha nk.ccm wasijifiche kichwa kama mbuni wana serikali na kama zito ni mchochezi kazi ya wanasheria wa serikali ni nini?
Hatuna serikali?mwanasheria wa ccm anahusika vipi kutolea maelezo mambo ya nchi?kwa nini asiyasemee mwenyekiti wao?mbona alikuwa dodoma.
Zitto ni nani hadi aogopwe kama kwelini mchochezi?kwa hiyo mnamwomba asichochee mnachokiita machafuko?
Mbona chama kikubwa kama wanavyojiita wenyewe kimekosa nohodha?hawa waliotoa tamko ni kina nani hadi wautangazie uma kuwa serikali haitavumilia wanaoleta uchochezi?huyo mwanasheria wa ccm hana mamlaka ya kumshitaki zitto na kama anayo mbona anadhalilisha fani ya sheria?tanzania tumefikia hapa?
Kila mtu ndani ya chama nkiongozi wa kiserikali?nasema sielewi na kama ndiyo style ccm wamefikia hakika hakuna kitu tena.

Machafuko nchini yataletwa na matendo ya watawala. na si wapinzani.
hamuwezi kutuambia rada imenunuliwa kifisadi ila hakuna mtanzania aliyehusika,pesa zilichukuliwa benk na majini?ccm kuweni makini tunapima kauli zenu.liangalieni hili alilosema zitto kesho na keshokutwa litajulikana ukweli na uwongo.mlivyoambiwa la Idd Simba na uda majibu yenu tunayakumbuka leo yapo wapi?

Zitto karibu ulitolee ufafanuzi.
 
Mkuu afadhali ameliongea zitto Kama angeongea mnyika au tundu lissu mbona hata humu jamvin kusingekalika pro CDM wangepata shida sana
 
sasa ndugu yangu wewe bado unaijadili ccm hii ilyojichokea,kwa kweli mtu akitaka kukata roho lazima atupetupe miguu ,ndo kinachofanywa na ccm sasa hivi
 
Hutakiwi kwenda kwa mganga kupiga ramli, ki ukweli ccm kwisha habari hata Nape analijua hilo.
 
Back
Top Bottom