Hoja ya Zitto sio ya CHADEMA

Mleta mada anachotaka hapa kujaribu ku devide watu wachangie mada in a different perspective.
Hajui kwamba Zitto ni product ya CHADEMA, alijiunga na chama akiwa na miaka 16, na hajawahi kuwa mwanachama wa chama kingine zaidi ya CDM.
Zitto personally anaweza kuwa na mapungufu yake kama binadamu, sasa kuna members humu wanataka kupotosha wachangiaji wengine kwa kutumia reference ambazo hazina link na current situation
 
ULITAKA AONGEE KINGEREZA KAMA ANAANDIKA KISWAHILI..Wabongo kwa kujifanya wanajua kingereza hamjambo...
Wengine wana PHD na ni walimu wa chuo kikuu lakini tumewashuhudia juzi tu pale Bungeni wakishindwa kujieleza kwa Kiingereza Fasaha, lakini wakiwa kwenye keyboard humu mbwembwe kibao!! nyambafu zao kabisa.
 
Ni kweli naongea Kiswahili, na ni kweli hapo nimeandika Kiingereza, sijui nikusaidie nini dogo!!...
Kama hukijui usijilazimishe kuandika..
Tumia tu kiswahili, huoni sasa hivi kwenye hii post yako hujatumia kiinngereza na umeandika kwa ufasaha?
 
Kama hukijui usijilazimishe kuandika..
Tumia tu kiswahili, huoni sasa hivi kwenye hii post yako hujatumia kiinngereza na umeandika kwa ufasaha?
Mshauri na Mkuu wetu pale Magogoni kwamba Manufacture Teachers si Kiingereza fasaha na pia umshauri spika abadilishe kanuni za kuwapata Wabunge wa East Afrika maana kuna watu wana PHD lakini walishindwa kueleweka walikuwa wanaongea Kiingereza cha wapi!!
 
Njaa yako inakudhalilisha shangazi, hoja ya msingi ni kuwaadabisha wanaokula mali ya umma. swala la popularity ya CDM halina utata hata kidogo hata waliokutuma wanalifamahu hilo. so save your time baby.
 
Utasemaje hoja ya Zitto sio ya CHADEMA wakati Zitto mwenyewe ni CHADEMA. Kwenye hili hata Lusinde anakuzidi
Kwa hili sitokubaliana nawe na wala tusichanganye mambo kwenye hoja hii ya kutokuwa na imani na PM. Hoja ya Zitto ni hoja ya Watanzania wengi ingawa yeye ndiye aliyeianzisha, ingawa Chadema ndio waliyoianzisha. Siku zote lazima awepo mtu wa kwanza wa kurusha jiwe, yule asiye na dhambi. CCM hawakufanya hivyo kwa sababu wakubwa wao wamejaaa madhambi, na wale wasiokuwa na dhambi walikuwa waoga hadi pale Zitto aliporusha jiwe.
 
Duh! Ngoja nikuache, hueleweki, nishakuona kilaza tu. Hatupo kwenye level moja.

Labda tu nikusaidie kidogo. Ukiifuta CHADEMA sasa hivi basi ujue na ubunge wa Zitto utakoma hapo hapo. Hayo yote Zitto anayoyafanya sasa hivi ni kwa sababu chama chake (CHADEMA) kiliona anafaa kukiwakilisha kupitia jimbo la Kigoma Kaskazini. Zitto ni part ya System na System ni CHADEMA. Huwezi kuwa na part ya system ambayo haina similarities na system yenyewe. Kama bado hujaelewa basi potezea. Utaelewa vitu vingine, sio lazima uelewe kila kitu. Kufaulu sio lazima kupata 100 hata aliepata 81 kafaulu pia
 
hoja ni ya zitto, ndiyo, mwambie asaini mwenyewe afu aipeleke!!!! ni ujinga kuanza kujadili hoja ni ya cdm, ccm au cuf, hoja iliyopo mezani itapotoshwa na kama alivyosema jk..upepo utapita, tanzania ni nchi ya matukio....
hoja ni kwamba kuna ufisadi serikalini na umesababishwa na serikali ya ccm... no matter aliyekula pesa ni mkulo,chami, nundu or whoever, ni serikali ya ccm....hivyo hatupo kujadili hoja ni ya nani exactly, tunachojali ni hoja gani full stop!!!!
 
Ninyi vijana/wazee wa CCM (KIM,Rejao,Ritz) hata haina haja ya kuanza kuvutana ati hoja ni ya nani.Okay,ni ya bunge zima.Hakuna authority yoyote ya CDM iliyosema ati hoja ni ya CDM,Haya ya KIM yanatoka wapi.Ninyi ndio watu wabaya kabisa katika nchi hii,Sasa hapa mnataka kuleta mgawanyiko ili hoja ishindwe kupata support ya bunge zima?? Who doesnt know kwamba nyie ni wanazi wa Serikali ya CCM hapa mnachofanya ni ku play tactic ya divide and rule ili hoja iliyowekwa bungeni isipate uungwaji mkono baada ya kuingiza Prty politics.

KIM,Ukinithibitishia kama kuna formal Authority ya CDM iliyosema hoja ni ya CDM hapo nitakuelewa.La sivyo basi wewe ndo utakuwa Sumu
 
Hivi sisiemu walipoiba hoja ya katiba mpya pia ulitufahamisha? hebu nikumbushe kidogo, au wakati huo hukuwepo nchini!
 
KIM KARDARSH, hivi umewaza nini kuanzisha hoja kama hii!? Wewe unaona kipaumbele kwako ni cheap popularity? Nina wasiwasi na uwezo wako wa kufikiri!! Kwanza inaonesha wewe si mtanzania kwani hata kuandika kiswahili huwezi! Mf. Chama "iko"!
 
hivi wa jimbu wa mbunge akiwa bungeni ni nini? baada ya kutanabaisha majukumu yake nadhani hakuna haja tena ya kutaka kujua uchama wake hapo bungeni.
 
Labda tu nikusaidie kidogo. Ukiifuta CHADEMA sasa hivi basi ujue na ubunge wa Zitto utakoma hapo hapo. Hayo yote Zitto anayoyafanya sasa hivi ni kwa sababu chama chake (CHADEMA) kiliona anafaa kukiwakilisha kupitia jimbo la Kigoma Kaskazini. Zitto ni part ya System na System ni CHADEMA. Huwezi kuwa na part ya system ambayo haina similarities na system yenyewe. Kama bado hujaelewa basi potezea. Utaelewa vitu vingine, sio lazima uelewe kila kitu. Kufaulu sio lazima kupata 100 hata aliepata 81 kafaulu pia


Veeeeeeery Good.
 
Back
Top Bottom