<br><br>tatizo la nchi hii ni matumbo,viongozi wetu wana njaa sana!2015 ndio mwisho wa wanafiki wote!Kwa mbunge kijana Machalii nadhani tatizo ni kumsikiliza Mbatia,kwa upande wa Agripina Buyogela sidhani kama hata anaelewa nini maana ya Katiba Mpya. Kwa akina Mrema na Cheyo hawa kila mtu anaelewa matatizo yao. Wanakula wamekwisha kabisa. Wabunge ambao nashindwa kuwaelewa kabisa ni CUF ambao ningetarajia baada ya aibu ya Igunga wajipange upya na hasa wale wanaotoka huku bara,wameshindwa tena kusoma watanzania wanataka nini. CUF inazidi jichimbia ktk kaburi la kisiasa,na CCM haitakua na huruma kuwafukia siku itakapotimia!
hata mm nakumbali Machali hyseee najua tu hakutaka kutoka mana hataki kuonekana ana msimamo sawa na Kafulila. Tungoje atakapochangia tutajua.
Tatizo lako hausomi maoni ya wadau wengi umeishi kuandika masimulizi ya hao ccm uchwara kwamba watu wanalalamika tu. Kila kinachokosolewa wazo mbadala linatolewa. Tatufa uzi wenye hotuba ya Lissu leo bungeni usome (kama utaacha uvivu wa kusoma)
Hapo kwenye nyekundu... It's ethical but impractical, kwa mfano tu hebu nieleze jinsi kundi mojawapo linavyoweza kuchagua mwakilishi wake, just tell me the process. Tuseme wawakilishi kutoka kundi la dini, hebu chakachua jinsi watakavyopata wawakilishi wao.... je, how many? or in what proportion hao wadini watawakilishwa compared to let say Political parties?, Na ni nani atawachagua?, waumini au Mkuu wa kambi ya upinzani?
fwafwanua hapo yaani tupige kura kuchagua tume au? halafu katiba iandikwe lini? we have only four years remaining!! halafu kazi ya bunge ni hiyo?
mkuu sasa hii ndio hoja ya kukaa chini na kufanya research ni jinsi gani tutapata wawakiliski katika mfuu huu unaopendekezwa na wengi,lakini si kwa kutumia ule feki wa mheshimiwa kuteua wana ccm wenzake. kwenye kundi la dini unaweza kutumia dini zote ambazo zimesajiliwa nchini na pengine kwa ratio ya waumini wake kwa kukadilia(kwakuwa baba wa taifa alikataa swali la dini kwenye sensa), Vivyo hivyo kwa vyama vya siasa vyenye uwakilishi bungeni kwa ratio ya uwakilishi wao. NGO unaweza kutumia idadi sawa kwa active ones.
i stand to be corrected.
nakubaliana na ninyi wote
Tunaongea lugha moja ila tunaachana katikati ya mistari,
Nne, raisi atachagua makada wa chama kuanzia wajumbe mpaka wenyekiti na katibu,
Kuna pendekezo la jukwaa la katiba(refer katibaforum) ya kuwa kwenye huu mswada tuweke ni makundi yapi na kwa idadi ipi yanatakiwa kutoa wawakililishi alafu kila kundi kwa utaratibu wake watachagua wawakilishi kuanzia vyama vya siasa,kijamii,dini makundi ya watu wenye mahitaji maalum n.k
Hii ilikuwa njia sahihi na pia lissu katoa pendekezo la katibu aombe kazi na ajira yake itoLewe na tume sio raisi,pia wajumbe wa tume walindwe na sheria kama majaji,kuna mengi ila soma na uelewe maoni ya lissu yanasema karibia kila kitu tunachohitaji.Ndio amana tunasema serikali ijumuishe maoni ya wadau mbalimbali sio wanasiasa tu,kifupi wasituandikie(ccm) katiba. Waache tuandike. Hiyo ahbari ya miaka kumi itakuuwa habari ay kugomea kona wakati penalt umekubali.
- Tutarajie Tanzania gani baada ya mchakato huu kuisha?