SOBY
JF-Expert Member
- Sep 19, 2011
- 1,268
- 457
Tatizo ni uwakilishi wa wananchi, kama upinzani utakuwa na proportion sawa na CCM, wananchi watakuwa hawajatendewa haki.Yah ni complaint na ndio maana tunasema ilibidi usomwe kwa mara ya kwanza ili ammbo kama hayo ya propotionalitity yajadiliwe ikiwa pamoja na sifa an kila kilichokosolewa.kwanza utambue kosa hiyo ni moja ya utatuzi wa tatizo,then njoo mezani tutafute alternative.
Sasa watu ahta tatizo hamlioni,mtalitatuaje????
Pili, bunge huwakilisha majimbo, kwa mfano Mnyika peke yake ameridhiwa na wananchi wengi zaidi ya karibu wabunge wote wa CUF.
Ni rais peke yake ndiye aliyeridhiwa na wanchi wengi, ndiye mwkshi wa Taifa.
Tatu, wananchi watapiga kura ya kukataa au kukubali katiba mpya, hii itachukua maka karibu kumi, kwa hiyo sioni nukta ya hiyo hotuba ya Lisu.