Hoja ya Shossi juu ya sh. 500/- ya babu

haijaniuma hata kidogo mpendwa.

kuna watu hapa JF wanatangaza kuwa wa hisia za u-lesbian, sijaona ukiwakaripia, wengine wanafagilia tigo, nao sijasikia ukiwakaripia, nk. uliposikia kuna mtu kaukabidhi mwili wake kwa Mungu kwa uaminifu kwa miaka 26, umegeuka mbogo!

naijua roho inayokutesa. nitakuombea. ubarikiwe

Glory to God

hahaa usijihangaishe sina roho yoyote inayonitesa,FAB is just FAB.....sina ishu na bikira yako hata ukiamua ukae bikira for the rest of your life,ila unatuchosha unavyotaka attention with it.........for heaven sake,kila mtu alikuwa nayo!........malesbian na waliwa tigo sidhani kama kuna mtu humu kajiweka kwenye signature yake na kuboast kwenye matopic kama wewe unavyofanya,kama wapo na wenyewe watakuwa attention seekers kama ulivyo wewe-----mie nakungojea mtu akishaitoa hio bikira utakuja nalipi jipya??? manake naona unasumbuliwa na pepo la kujionyesha/attention seeking....
 
ubarikiwe sana mpendwa

Glory to God
 
Judith mama BIG UP, kaza buti na imani yako. Imani yako itakuponya. Mtaamini babu ni mnafiki na muongo pale mnapoenda kule msipone au ikawa ile imani ya kinafiki kumpa lishe babu. Hivi kweli mbona watanzania nyinie ni vipofu? Upofu wenu mpaka lini. Mrema katoka huko kaona mambo siyo kaamua kusema eti doctor wake atatoa majibu, Ina maana huyo doctor bado anachakachua majibu yake? Hakuna kitu chochote kinachoendelea mnamuendekeza huyo mtu mzima hovyo, kakosa cha kufanya akaona aanze kukufuru. Mwisho wake huyo babu ni mbaya, atakufa kifo kibaya. Poleni sana enyi wenye imani haba!!!! karibia macho yenu yatafunguliwa.

Judith, I salute you mama. Tuwaombee wenzetu wafunguke macho waone kuwa ni uongo.
 
Miss Judith, nataka kujua wewe ni muumini wa kanisa gani? mara ya tatu lakini hutaki kujibu sioni uaminifu wako mbele za Mungu, sitaki PM jibu hapa hapa watu tukuone na uwe mwaminifu ili Mungu wako azidi kuinuliwa.... asante nasubiliwa kusikia kutoka kwako
 
kama babu atakufa kifo kibaya na wewe utakufa tu ndugu na kwa jinsi unavoonyesha chuki na babu nadhani hata huyo Mungu unamchkia mara mia moja zaidi ya babu (huwezi kusema unampenda Mungu wakti unamchukia babu wewe ni muongo!)

pole na wewe imani yako ipo kwa Kakobe na wenzake
 
Judith mama BIG UP, kaza buti na imani yako. Imani yako itakuponya. Mtaamini babu ni mnafiki na muongo pale mnapoenda kule msipone au ikawa ile imani ya kinafiki kumpa lishe babu. Hivi kweli mbona watanzania nyinie ni vipofu? Upofu wenu mpaka lini. Mrema katoka huko kaona mambo siyo kaamua kusema eti doctor wake atatoa majibu, Ina maana huyo doctor bado anachakachua majibu yake? Hakuna kitu chochote kinachoendelea mnamuendekeza huyo mtu mzima hovyo, kakosa cha kufanya akaona aanze kukufuru. Mwisho wake huyo babu ni mbaya, atakufa kifo kibaya. Poleni sana enyi wenye imani haba!!!! karibia macho yenu yatafunguliwa.
Judith, I salute you mama. Tuwaombee wenzetu wafunguke macho waone kuwa ni uongo.
Caroline Danzi aka Sheikh Yahya Hussein at work!
Usimchulie babu yetu aisee chaliii!

Utakufa wewe na utamwacha babu Samunge akiendelea kutoa kikombe!
 
hahaa mkuu PJ umenivunja mbavu halafu na unafiki wao wanajifanya watu wa kiroho... kweli safari ya mbinguni sio mchezo
nawamiss sana Rev Masanilo na Maxshimba katika hii thread
 
Miss Judith, nataka kujua wewe ni muumini wa kanisa gani? mara ya tatu lakini hutaki kujibu sioni uaminifu wako mbele za Mungu, sitaki PM jibu hapa hapa watu tukuone na uwe mwaminifu ili Mungu wako azidi kuinuliwa.... asante nasubiliwa kusikia kutoka kwako

hili linaonekana kwako ni muhimu sana.

mimi ni mkristo wa madhehebu ya lutheran.

inatosha au niendelee zaidi?

Glory to God
 
Judith mama BIG UP, kaza buti na imani yako. Imani yako itakuponya. Mtaamini babu ni mnafiki na muongo pale mnapoenda kule msipone au ikawa ile imani ya kinafiki kumpa lishe babu. Hivi kweli mbona watanzania nyinie ni vipofu? Upofu wenu mpaka lini. Mrema katoka huko kaona mambo siyo kaamua kusema eti doctor wake atatoa majibu, Ina maana huyo doctor bado anachakachua majibu yake? Hakuna kitu chochote kinachoendelea mnamuendekeza huyo mtu mzima hovyo, kakosa cha kufanya akaona aanze kukufuru. Mwisho wake huyo babu ni mbaya, atakufa kifo kibaya. Poleni sana enyi wenye imani haba!!!! karibia macho yenu yatafunguliwa.

Judith, I salute you mama. Tuwaombee wenzetu wafunguke macho waone kuwa ni uongo.

asante sana mpendwa kwa kuniia moyo maana mashambulizi ni kutoka kila kona. hata hivyo kwa neema ya Mungu sikatishwi tamaa na lolote. nitasimama kidete kutetea imani yangu ya kikristo ISICHAKACHULIWE na yeyote

ubarikiwe sana mpendwa na tuzidishe maombi

Glory to God
 
nianze kwa kuweka wazi kuwa sina hakika na imani ya huyu ndugu yetu Mohamedi Shossi, sijui kama ni mwislamu, mkristo ama muumini wa dini nyinginezo.

aliweka wazi kuwa babu si size ya Yesu na alisema kuwa Yesu ni "world icon" na babu hawezi kulinganishwa naye hata kidogo. baadhi walimkosoa kumwita Yesu "world icon" na walikuwa na sababu zao. pia ametoa michango mingi tu mingine ila hapa nataka niungane naye na kumpongeza kwa kuhoji hiyo bei ya babu.

Mungu wetu afikie mahali apange bei!! tena ya huduma itokanayo na karama aliyotoa mwenyewe? kweli hapo pagumu kuingia akilini. tena mungu wake huyo akampa na mchanganuo wa namna atakavyozigawa hizo pesa, eti 300/- kwakanisa, yatima na wajane na 200/- za wahudumu wanaomsaidia kazi! kwa kweli naona kama hizi ni kashfa kwa Mungu wetu.

neema ya Mungu wetu ni kubwa na pana sana, na kamwe huyu babu asiichezee kiasi hiki. yeye atangaze kuwa ni mganga aliyekuja na dawa ya mti wa mrigariga, afuate taratibu za serikali za kujisajili kisheria ili serikali itambue kazi zake na aweke bei yake kama wawekavyo waganga wengine na tutamchukulia kama tunavyowachukulia waganga wengine.

hongera tena Mohamed Shossi, hoja yako ni njema na ya kweli. Mungu wetu hahitaji hata senti yetu moja. karama zake hutoa bure. michango kwa ajili ya kazi ya Bwana ni ya hiyari na kadiri mtu alivyojaaliwa kutoa.

ukishaweka bei (hata kama ni sh.10/-) maana yake ni kwamba asiye nayo hapati huduma! kumbuka madukani kuna pipi za sh.10/- na usipokuwa na hiyo sh.10/- hupati hiyo pipi. ndiyo maana ya bei. sasa babu anasema kama huna sh. 500/- kaa pembeni mwenye hela aje apate kikombe! hata akiamua kuwasamehe wengine kulipa, manake atakuwa kakiuka utaratibu wa huyo mungu wake anayedhibiti bei! sasa hii nayo bado ni huduma ya kiroho kweli kwa mujibu wa dini ya kikristo? mungu gani huyu anayepanga hesabu hivi?

tuendelee kutafakari na kuliombea kanisa

Mungu akubariki sana ndugu Mohamedi Shossi,

Glory to God!

Nikiangalia hizo comment za blue na nyekundu natamani hata kulia.
Hivi kweli kutoa msaada kwa wajane na yatima ni kuchezea neema ya Mungu???
Judith, ulisoma sawasawa ulichokiandika??????
Kuchangia kanisa ni kuchezea neema ya Mungu????
Na ukiangalia hata huo mchanganuo uliouweka inaonyesha yeye kama Babu habaki na kitu chochote, kila kitu atakirudisha kwa masikini, wenye matatizo na kanisani.
Hiyo black ndo nashindwa hata nikuulize nini!?????
Kazi ya Babu ina baraka zote za KKKT, ndio maana serikali ilipojaribu kuzuia huduma za babu KKKT walikuja juu, wakazi na Loliondo, Arusha na sehemu mbalimbali za Tanzania walikuja juu, na hata Mkuu wa Mkoa wa Arusha nae alikuja juu wote wakisema hilo zuio halitekelezeki.
So maadamu umemshambulia Babu kutoa huduma kwa 500/- na kumfananisha na waganga wengine (bila shaka utakuwa unamaanisha waganga wa kienyeji) ni wazi kwamba umewashambulia pia KKKT.

My conclusion ni kwamba
SAUTI YA WENGI NI SAUTI YA MUNGU
Na umeona sauti ya wengi ilivyokupinga kwa nguvu zote. Hii thread lazima itakuwa imekuharibia siku yako kwa namna fulani.
 
Hakuna neno sahihi ninaloweza kuliweka hapa zaidi ya wivu na hii sasa imekuwa ugonjwa mbaya unaolitafuna taifa letu Tanzania.Fuatilia matamko ya viongozi wa dini hasa yale madhehebu yanayojitangaza sana through TV utagundua wanasumbuliwa na wivu bahati mbaya hata wewe Miss Judith unaangukia kwenye kundi hilo.

Binafsi nimekutana na wagonjwa waliokuwa wakisumbuliwa na ugonjwa wa kisukari hakika wangebahatika kukutana na wewe wangekutupia mayai viza kama siyo kukutemea mate.

hao wataaramu wa kutafasiri maandiko sina imani nao, kila mmoja anavutia kwake, na kuwafanya wenzake hawajui, utafikiri katoka mbinguni. kwa nini wasiungane ili kuimalisha huduma hii ya kiimani kwa kuwa wote wanatumia kitabu kimoja. Kikubwa ni "shekeli"
 
Miss Judith, nataka kujua wewe ni muumini wa kanisa gani? mara ya tatu lakini hutaki kujibu sioni uaminifu wako mbele za Mungu, sitaki PM jibu hapa hapa watu tukuone na uwe mwaminifu ili Mungu wako azidi kuinuliwa.... asante nasubiliwa kusikia kutoka kwako

.
Miss Jude umenistaajabisha kidogo. Nilidhani labda naota ama naona maono? Maana ule utaalamu uliokiri unao wa kut.. Sikuamini kama ni wewe uliyeyaanika hayo hadharani.
Kuna jambo moja limenijia moyoni, huenda upo chini ya mtumishi mwenye bumbuazi la kiroho(spiritual amnesia). Kama ni mwanamama atakua na tatizo la usagaji kisiri, laa kama ni mwanamume atakua fataki kisiri. Ama kama viongozi wako wa kidini wako safi, wewe binafsi mguu mmoja uko ndani ya boma ilhali wa pili unakatiza mitaa ya udaku.
Yawezekana vipi kisima kimoja kutoa maji matamu na machungu pia? Labda tu nijifariji na neno la Mungu kwamba mvua ile ile iliyoinyeshea nchi kuchipusha miche ya matunda ndio hiyo hiyo pia iliyochipusha mibaruti.
UKIJIBU SWALI LA MDAU KWAMBA KANISA LAKO NI LIPI BASI TUTAENDELEA ZAIDI KUSAIDIANA.
Nothing personal p/se!
.
 
Nikiangalia hizo comment za blue na nyekundu natamani hata kulia.
Hivi kweli kutoa msaada kwa wajane na yatima ni kuchezea neema ya Mungu???
Judith, ulisoma sawasawa ulichokiandika??????
Kuchangia kanisa ni kuchezea neema ya Mungu????
Na ukiangalia hata huo mchanganuo uliouweka inaonyesha yeye kama Babu habaki na kitu chochote, kila kitu atakirudisha kwa masikini, wenye matatizo na kanisani.
Hiyo black ndo nashindwa hata nikuulize nini!?????
Kazi ya Babu ina baraka zote za KKKT, ndio maana serikali ilipojaribu kuzuia huduma za babu KKKT walikuja juu, wakazi na Loliondo, Arusha na sehemu mbalimbali za Tanzania walikuja juu, na hata Mkuu wa Mkoa wa Arusha nae alikuja juu wote wakisema hilo zuio halitekelezeki.
So maadamu umemshambulia Babu kutoa huduma kwa 500/- na kumfananisha na waganga wengine (bila shaka utakuwa unamaanisha waganga wa kienyeji) ni wazi kwamba umewashambulia pia KKKT.

My conclusion ni kwamba
SAUTI YA WENGI NI SAUTI YA MUNGU
Na umeona sauti ya wengi ilivyokupinga kwa nguvu zote. Hii thread lazima itakuwa imekuharibia siku yako kwa namna fulani.

baadhi ya wakristo wenzangu na baadhi ya wanaJF mnanishangaza sana.

kuchezea neema ya Mungu nilikosema ni kutokana na kuweka bei kwa uponyaji huo utokanao na karama ya Mungu. ukiweka bei ina maana kuwa asiyekuwa na 500/- hapati huduma! Narudia tena Mungu ninayemfahamu hawezi kutoza hata senti moja!, kama babu anahitaji ku-cover some overheads au kusaidia wenye shida na kanisa anapaswa kuitisha michango ya hiyari ambapo kula mtu atachangia kutokana na uwezo wake na katu asiwapangie kiasi fixed cha kuchangia na kukifanya kuwa sharti la kupata huduma hiyo ya uponyaji. huo ndio ukristo ninaoujua mimi.

suala kuwa KKKT wameunga mkono si hoja. wapi imeandikwa kuwa KKKT wakiunga mkono basi jambo hilo lazima liwe limetoka kwa Mungu? hujasikia makanisa yakitawaza mashoga kuwa wachungaji? wake up my friend. shetani anaweza kutumia hata vingozi wetu wa kiroho, ndiyo maana nasema ni lazima kuijaribu kila roho kama inatokana na Mungu kwa kutumia maandiko matakatifu. kitu chochote kilicho kinyume na maandiko hata kama kimeungwa mkono na serikali, KKKT, wakazi na Loliondo, Arusha na sehemu mbalimbali za Tanzania na hata dunia nzima na hata huyo Mkuu wa Mkoa wa Arusha ama mkoa mwingine wowote, lazima kikubaliane na maandiko ndugu yangu. ukubwa wa jeshi la wanaokubali, haukifanyi kuwa kitakatifu. tafakari tena ili uwe great thinker wa kweli.

Glory to God
 
.
Miss Jude umenistaajabisha kidogo. Nilidhani labda naota ama naona maono? Maana ule utaalamu uliokiri unao wa kut.. Sikuamini kama ni wewe uliyeyaanika hayo hadharani.
Kuna jambo moja limenijia moyoni, huenda upo chini ya mtumishi mwenye bumbuazi la kiroho(spiritual amnesia). Kama ni mwanamama atakua na tatizo la usagaji kisiri, laa kama ni mwanamume atakua fataki kisiri. Ama kama viongozi wako wa kidini wako safi, wewe binafsi mguu mmoja uko ndani ya boma ilhali wa pili unakatiza mitaa ya udaku.
Yawezekana vipi kisima kimoja kutoa maji matamu na machungu pia? Labda tu nijifariji na neno la Mungu kwamba mvua ile ile iliyoinyeshea nchi kuchipusha miche ya matunda ndio hiyo hiyo pia iliyochipusha mibaruti.
UKIJIBU SWALI LA MDAU KWAMBA KANISA LAKO NI LIPI BASI TUTAENDELEA ZAIDI KUSAIDIANA.
Nothing personal p/se!
.

mpendwa kiby, kinachokustaajabisha ni nini?

wakristo hawatongozi? hawatongozwi? watumishi wa Mungu hawatongozi/tongozwa? sasa cha ajabu ni nini pale? kutongoza ni njia ya kujenga mawasiliano na mahusiano. si lazima mahusiano haya yaishie kwenye uzinzi au ngono. kama una maswali kuhusu hoja hizi, ziulize kwenye thread inayohusika, usitutoe kwenye mstari wa mada yetu hapa.

kuhusu kanisa ninaloshiriki ibada nimeishamjibu, inaonekana hujafuatilia post zote. rudi ukurasa wa nyuma utaona jibu langu kwake.

hayo ya mtumishi msagaji au fataki kwanza nimeshangaa baadaye nikakuelewa. kuwa wewe unaamini kuwa mtumishi ana haki na anaweza kukuburuza kuelekea kokote anakotaka, ili mradi tu kajiita au kaitwa "mtumishi"! kumbe basi ndio maana uko na babu kama chanda na pete bila kuona umuhimu wa kuhoji biashara yake na kama inakubaliana na maandiko matakatifu ya Mungu!

ushauri wangu kwako na kwa wengine ni kuwa usimtegemee mwanadamu bali mtegemee Mungu. soma neno lake nalo lifanyike taa na mwangaza miguuni mwako. imeandikwa, amelaaniwa yoyote amtegemeaye mwanadamu.

glory to God
 
babu amekuwa mpweke sana .... anafanya kazi usiku kucha na kikubwa ni kwamba babu hana mke ..... nadhani ingekuwa ni project nzuri sana kama ungeungana na babu pale loliondo ili apate faraja
 
baadhi ya wakristo wenzangu na baadhi ya wanaJF mnanishangaza sana.

kuchezea neema ya Mungu nilikosema ni kutokana na kuweka bei kwa uponyaji huo utokanao na karama ya Mungu. ukiweka bei ina maana kuwa asiyekuwa na 500/- hapati huduma! Narudia tena Mungu ninayemfahamu hawezi kutoza hata senti moja!, (kama babu anahitaji ku-cover some overheads au kusaidia wenye shida na kanisa anapaswa kuitisha michango ya hiyari ambapo kula mtu atachangia kutokana na uwezo wake na katu asiwapangie kiasi fixed cha kuchangia na kukifanya kuwa sharti la kupata huduma hiyo ya uponyaj)i. huo ndio ukristo ninaoujua mimi.

suala kuwa KKKT wameunga mkono si hoja. wapi imeandikwa kuwa KKKT wakiunga mkono basi jambo hilo lazima liwe limetoka kwa Mungu? hujasikia makanisa yakitawaza mashoga kuwa wachungaji? wake up my friend. shetani anaweza kutumia hata vingozi wetu wa kiroho, ndiyo maana nasema ni lazima kuijaribu kila roho kama inatokana na Mungu kwa kutumia maandiko matakatifu. kitu chochote kilicho kinyume na maandiko hata kama kimeungwa mkono na serikali, KKKT, wakazi na Loliondo, Arusha na sehemu mbalimbali za Tanzania na hata dunia nzima na hata huyo Mkuu wa Mkoa wa Arusha ama mkoa mwingine wowote, lazima kikubaliane na maandiko ndugu yangu. ukubwa wa jeshi la wanaokubali, haukifanyi kuwa kitakatifu. tafakari tena ili uwe great thinker wa kweli.

Glory to God

kwenye mabano hapo dada sijakuelewa ulitaka afanye kama wale wengine? ambao wanakamua raia bila huruma mbona uwezo wa kutetea hoja ni mdoigo sana? na angefanya hivyo unavyopendekeza mngechonga sana sasa hiyo 500 nayo mnaona ni ishu, hivi umeshapata malalamiko yote au kusikia kwamba hicho kiasi anachotoza babu ni kikubwa? acha uvivu wa kufikiri kubali kwamba umeshindwa kutetea kila unachokisema... muache babu aendelee na kazi yake au kama umetumwa na Mungu ombea huduma ya babu ianguke mara moja zaidi ya hapo sioni haja ya wewe kuendelea kujitutumua na kujibu hoja dhaifu hapa
 
msitoke nje ya mada wapendwa! ubikira si mada ya kujadiliwa kwenye thread hii. najua mabikira ni adimu sana hapa duniani, hapa tunamjadili babu na sh. 500/- yake . please turudi kwenye mada

Glory to God

Sijuw elimu yako na umesomea nini? Unashndwa kujieleza vzuri. Mada yako ni nzur,lakn unajichanganya mwenyew. MAMBO YAKO YA UBIKIRA YAMEFIKAJE KWENYE MADA YA KIKOMBE CHA BABU LOLIONDO?

Ama kweli JF itageuka kuwa jumba la vilaza.

I hate virginity, 26 yrs staki hata kukuona. Miaka yote ulikuwa wap? Alaf nan akutokew? Ukome
 
kwenye mabano hapo dada sijakuelewa ulitaka afanye kama wale wengine? ambao wanakamua raia bila huruma mbona uwezo wa kutetea hoja ni mdoigo sana? na angefanya hivyo unavyopendekeza mngechonga sana sasa hiyo 500 nayo mnaona ni ishu, hivi umeshapata malalamiko yote au kusikia kwamba hicho kiasi anachotoza babu ni kikubwa? acha uvivu wa kufikiri kubali kwamba umeshindwa kutetea kila unachokisema... muache babu aendelee na kazi yake au kama umetumwa na Mungu ombea huduma ya babu ianguke mara moja zaidi ya hapo sioni haja ya wewe kuendelea kujitutumua na kujibu hoja dhaifu hapa

wewe si ulitaka kujua nashiriki ibada wapi? nimekujibu na niambie imekusaidia nini? ndio tatizo la watu wasio na uelewa wa maandiko, hurukia na kudandia chochote wanachoona kinaweza kuwasaidia.

sasa point hapa ni kuwa kutoza fedha (fixed amount) iwe ndogo au kubwa kwa huduma sio ukristo. sasa wewe unayeamii kuwa unajua vyema tuthibitishie kimaandiko kuwa kwa kutoza fixed amount kama bei kwa huduma yake bado he is in line with the scriptures. suala la kuwa hakuna malalamiko sio la msingi. huwezi kujua labda yapo ila hayajaripotiwa na vyombo vya habari. kutosikia jambo haina maana kuwa HALIPO! tambua hilo ndugu

Glory to God
 
Back
Top Bottom