Hoja ya Shossi juu ya sh. 500/- ya babu

Natamani kuchangia kila nikianza kuandika nadelete ngoja nitarudi baadae maana nguvu zimeniisha kabisa

pole dada , karibu tena. nitafurahi kupata maoni yako. hata kwa PM itafaa sana. asante mpenzi
 
Mi ni msichana mrembo sana mwenye umri wa miaka 26, figure namba 8, maji ya kunde na ni bikira. Sijawahi kuingiliwa na mwanaume awaye yote maungoni mwangu. Nimeyashinda majarinbu yote haya ya maisha ya leo kwa sababu ya nguvu zitokazo katika neno la msalaba. Signature yangu inasema kuwa mwili wangu ni mali ya Mwenyezi Mungu na mimi ninauchukua siku zote na kutembea nao kama dhamana tu. Nautunza na naamini siku moja Mungu atataka hesabu ya matendo yote niliyoutendea mwili wangu hadi siku ile aliyaomua kuniita.

wacha kujifagilia,kama ni bikira kila mtu aliwahi kuwa nayo.....itatoka km zilivyotoka nyengine ,nothing special about it....!
 
hivi, umefilisika kabisa ndugu yangu?

aliyefilisika nani?? mie au wewe unayevuvuzela na bikira yako kuanzia signature mpk kny posting? bibie tulia kila mtu aliwahi kuwa nayo!!!,once itakapotoka ndio utajua ilivyo insgnificant na sio kitu cha kutunyimia usingizi humu!!!
 
nianze kwa kuweka wazi kuwa sina hakika na imani ya huyu ndugu yetu Mohamedi Shossi, sijui kama ni mwislamu, mkristo ama muumini wa dini nyinginezo.

aliweka wazi kuwa babu si size ya Yesu na alisema kuwa Yesu ni "world icon" na babu hawezi kulinganishwa naye hata kidogo. baadhi walimkosoa kumwita Yesu "world icon" na walikuwa na sababu zao. pia ametoa michango mingi tu mingine ila hapa nataka niungane naye na kumpongeza kwa kuhoji hiyo bei ya babu.

Mungu wetu afikie mahali apange bei!! tena ya huduma itokanayo na karama aliyotoa mwenyewe? kweli hapo pagumu kuingia akilini. tena mungu wake huyo akampa na mchanganuo wa namna atakavyozigawa hizo pesa, eti 300/- kwakanisa, yatima na wajane na 200/- za wahudumu wanaomsaidia kazi! kwa kweli naona kama hizi ni kashfa kwa Mungu wetu.

neema ya Mungu wetu ni kubwa na pana sana, na kamwe huyu babu asiichezee kiasi hiki. yeye atangaze kuwa ni mganga aliyekuja na dawa ya mti wa mrigariga, afuate taratibu za serikali za kujisajili kisheria ili serikali itambue kazi zake na aweke bei yake kama wawekavyo waganga wengine na tutamchukulia kama tunavyowachukulia waganga wengine.

hongera tena Mohamed Shossi, hoja yako ni njema na ya kweli. Mungu wetu hahitaji hata senti yetu moja. karama zake hutoa bure. michango kwa ajili ya kazi ya Bwana ni ya hiyari na kadiri mtu alivyojaaliwa kutoa.

ukishaweka bei (hata kama ni sh.10/-) maana yake ni kwamba asiye nayo hapati huduma! kumbuka madukani kuna pipi za sh.10/- na usipokuwa na hiyo sh.10/- hupati hiyo pipi. ndiyo maana ya bei. sasa babu anasema kama huna sh. 500/- kaa pembeni mwenye hela aje apate kikombe! hata akiamua kuwasamehe wengine kulipa, manake atakuwa kakiuka utaratibu wa huyo mungu wake anayedhibiti bei! sasa hii nayo bado ni huduma ya kiroho kweli kwa mujibu wa dini ya kikristo? mungu gani huyu anayepanga hesabu hivi?

tuendelee kutafakari na kuliombea kanisa

Mungu akubariki sana ndugu Mohamedi Shossi,

Glory to God!

Dada ubarikiwe maana umetenda kwa uaminifu. Najua wengi wakisoma jina basi wanahukumu bila kujali kuwa hata huyo mwenye hilo jina ni uumbaji wa Mungu na alimuumba kwa sura na mfano wake.

Wakristo waleo wameingia kwenye mtego wa kuhukumu na kuhubiri dini na makanisa badala ya kuhubiri Injili ya wokovu na msamaha kwa mataifa yote. Wanadhani ukristo ni jina na kwenda kanisani kutimiza ratiba zote na kutoa utukufu kwa wachungaji badala ya kumrudishia sifa na utukufu yeye ambaye aliimwaga damu yake msalabani kwa upendo mkubwa hata tulipokuwa tu waovu na wadhambi. Hakutuhukumu bali alisema baba uwasamehe maana hawajui walitendalo. Yaani damu yake ndiyo damu pekee ya binadamu inayotamka baraka. Sisi damu zetu zikimwagika lazima laana itokee maana ndugu zetu, dada zetu na hata sisi kabla ya kumwaga hiyo damu lazima mioyo yetu ijae uchungu.

Kutokana na tabia zetu hizi tumemzuia roho mtakatifu kutenda kazi yeke kwa nguvu na uweza alionao maana tunataka abaki ndani ya dini zetu na makanisa yetu na wakti mwingine ndani ya mioyo yetu. Tunadai hati miliki iliyotolewa bure na mwenye hiyo hati BWANA WETU YESU KRISTO.

Ubarikiwe dada kuwa na moyo wa uvumilivu na timiza wajibu wako. Naungana na wewe kumshukuru Mohamed Shosi kwa uaminifu wake maana kasema kadiri ya imani yake na neema ya Bwana yesu hakika haitampita abaki jinsi alivyo.
 
Who the hell cares if you are a bikira? Afterall we can't verify...so to hell with it. You don't need to advertise it the whole JF world. Get a grip.
 
Mimi nadhani swala la bikira hapa halikuwa platform yake, huyu binti inaonekana jukwaa lake kuu ni lile la mambo ya mahusiano mapenzi n.k, mimi binafsi sihitaji mwanamke bikira, hana ladha yoyote.
by the way unaweza kuinadi bikira yako kwa Gaddaf maana yeye ndio anahitaji mabinti bikira ili wawe mabody guard wake, but am afraid umeshachelewa maana siku zake madarakani zinahesabika.
 
Hivi kuwa bikira ni big deal au am I missing something?
 
Nilichogundua ni kwamba miss judith ana lake jambo kwa huyu babu.chunguzeni post zake zilizopita utajua ni mtu wa namna gani.tena anatumia majina tofauti na kujijibu mwenyewe.tena jinsia yake si kama mnavyofikiri.waste not your time on miss judith.
 
aliyefilisika nani?? mie au wewe unayevuvuzela na bikira yako kuanzia signature mpk kny posting? bibie tulia kila mtu aliwahi kuwa nayo!!!,once itakapotoka ndio utajua ilivyo insgnificant na sio kitu cha kutunyimia usingizi humu!!!

ubarikiwe sana mpendwa.

usemayo yanadhihirisha mengi sana. kama ningesema hapa kuwa "niliyabeba madume kumi kwa siku moja" nafikiri thread yangu ingepitiliza kurasa 100! hii ndiyo dunia tunayoishi, kuwa bikira ni aibu, ila kuwa malaya, msagaji nk. unapata maswahiba kedekede. nakuombea baraka na Mungu asikupite anapozuru wengine. amina

Glory to God
 
Who the hell cares if you are a bikira? Afterall we can't verify...so to hell with it. You don't need to advertise it the whole JF world. Get a grip.

Mimi nadhani swala la bikira hapa halikuwa platform yake, huyu binti inaonekana jukwaa lake kuu ni lile la mambo ya mahusiano mapenzi n.k, mimi binafsi sihitaji mwanamke bikira, hana ladha yoyote.
by the way unaweza kuinadi bikira yako kwa Gaddaf maana yeye ndio anahitaji mabinti bikira ili wawe mabody guard wake, but am afraid umeshachelewa maana siku zake madarakani zinahesabika.

msitoke nje ya mada wapendwa! ubikira si mada ya kujadiliwa kwenye thread hii. najua mabikira ni adimu sana hapa duniani, hapa tunamjadili babu na sh. 500/- yake . please turudi kwenye mada

Glory to God
 
Nilichogundua ni kwamba miss judith ana lake jambo kwa huyu babu.chunguzeni post zake zilizopita utajua ni mtu wa namna gani.tena anatumia majina tofauti na kujijibu mwenyewe.tena jinsia yake si kama mnavyofikiri.waste not your time on miss judith.

na wewe mwenzetu tayari umepata ndoto nini?

hahahaaaaa, turudi kwenye mada mpendwa.

Glory to God
 
ubarikiwe sana mpendwa.

usemayo yanadhihirisha mengi sana. kama ningesema hapa kuwa "niliyabeba madume kumi kwa siku moja" nafikiri thread yangu ingepitiliza kurasa 100! hii ndiyo dunia tunayoishi, kuwa bikira ni aibu, ila kuwa malaya, msagaji nk. unapata maswahiba kedekede. nakuombea baraka na Mungu asikupite anapozuru wengine. amina

Glory to God

hakuna tofauti na unavyofanya na bikira yako,yote ni kutafuta ATTENTION na sie nyie attention seekers mnatuchosha!!!!...barikiwa na wewe pia unapoendelea kujitambua!! ...sipendi kabisa mtu anayetafuta attention kinguvu iwe kwa mazuri au mabaya....nimekwambia waaaaazi kuwa bikira ni kitu cha kawaida kila mtu aliwahi kuwa nayo,pole km limekuuma ila huo ndio ukweli.
 
Nimekupa thanx kaka. Watu wanaongea tu na kutunga hadithi hayajawafika bado. Sioni tu vile unaweza compare 500 na kisukari cha zaidi ya miaka 10

Miss Judith,thank you very much for this useful thread. But for as long as nimeshafika kwa babu na kupata kikombe kinachonipa ahueni kubwa ya maradhi 'niliyokuwa' nayo, sitahoji lolote kuhusu hiyo mia tano. Infact natamani ningeweza kulipa zaidi

Natamani ungetoa ushuhuda na kuwa muwazi zaidi. Hata hivyo siingilii uamuzi wako. Kuna thread imeanzishwa na 'mediaman' Siri imefichuka! Babu wa Loliondo katumwa na shetani nimechangia huko. Ninachoona kwa wengi ni uchanga wa kiroho. Nadhani watu hawa wako tayari hata kusema kuwa Dawa ya hospitali si uponyaji wa Mungu. Wanahitaji kusoma kitabu cha Ben Carson, The Gifted Hands ili waone utendaji kazi wa Mungu.
 
hakuna tofauti na unavyofanya na bikira yako,yote ni kutafuta ATTENTION na sie nyie attention seekers mnatuchosha!!!!...barikiwa na wewe pia unapoendelea kujitambua!! ...sipendi kabisa mtu anayetafuta attention kinguvu iwe kwa mazuri au mabaya....nimekwambia waaaaazi kuwa bikira ni kitu cha kawaida kila mtu aliwahi kuwa nayo,pole km limekuuma ila huo ndio ukweli.

haijaniuma hata kidogo mpendwa.

kuna watu hapa JF wanatangaza kuwa wa hisia za u-lesbian, sijaona ukiwakaripia, wengine wanafagilia tigo, nao sijasikia ukiwakaripia, nk. uliposikia kuna mtu kaukabidhi mwili wake kwa Mungu kwa uaminifu kwa miaka 26, umegeuka mbogo!

naijua roho inayokutesa. nitakuombea. ubarikiwe

Hapana binti, wacha kupotosha watu, hapa ni lazima ujuwe sio lile jukwaa lenu la mahaba, lakini haya ya ubikira ungeyasema kule kwenye jukwaa lenu asingekushangaa mtu, hapa watu wanajadili hoja na sio viroja. angalia hata wachangiaji wengi wa hapa sio wale mnaokutana huko kwenye jukwaa lenu la mahaba, hapa kuna watu wengi ambao ni makini na hawana muda wa mzaha, na haitotokea siku ukaona wapo huko kwenye hilo jukwaa lenu la mahaba kumkuta mtu wa namna hiyo anachangia kitu.
 
unajua mpendwa. huyu aliyenyofoa hiki kipande nilichosema "sijamjua mume bado", alikichomoa katikati ya post na ndipo wengine wakaanza kuquote kipande kile. sio kwamba niliweka post ya kujinadi hapa bali huyo aliona hicho kipengele tu kati ya mengi niliyoandika.

hata hivyo sitaona haya kwa ajili ya injili kwani ni uweza wa Mungu uletao wokovu. mafisadi hawaoni haya kuiba, wafiraji hawaoni haya, wasagaji hawaoni haya, waasherati hawaoni haya nk nk. mie bikira nitaonaje haya? Yesu ndiye kinga na ngome yangu, nimhofu nani? daima nitayashuhudia matendo yake makuu na ya ajabu bila woga wa kukemewa wala haya.

ni vizuri kama unataka kuona hoja yangu kamili ukaisoma post nzima inayohusika.

Glory to God
 
Back
Top Bottom