Akili Unazo!
JF-Expert Member
- Feb 18, 2009
- 3,930
- 4,892
Kama nitakuwa na kumbukumbu nzuri is almost a week toka Mh.Seleli alivyochukia bungeni na kutuhumu kuwa Bunge halina maana kujadili kitu ambacho tayari kinaendelea.Hivi how long it takes kujibu hoja hiyo au wanatafuta kuizma kwa kuwa ni mbunge wa CCM? au majibu yalishatole tayari? hapohapo Spika wa bunge amesema kuwa vitabu vya bajeti vilivyopo kwenye maktaba ya Bunge mjini Dodoma vinaonyesha kuwa barabara ya Chalinze-Segera-Tanga haikuwa imepangiwa fedha katika bajeti zilizopita.
Sasa kwa nini wasdeclare kuwa wameoverlook kuliko kulazimisha majibu ambayo nikitendawili?
Wakuu nipeni mwongozo wa spika plz
Sasa kwa nini wasdeclare kuwa wameoverlook kuliko kulazimisha majibu ambayo nikitendawili?
Wakuu nipeni mwongozo wa spika plz