Hoja binafsi: Zitto akabidhiwe jahazi??

Kama wewe ni mpenda mabadiliko mbona vyama viko karibu 20 kwani haujaviona hivyo vyama? kawaulize ccm wenzako ni lini zilitolewa fomu za kugombea uenyekiti wa ccm taifa? au waulize ccm wenzako safu nzima ya uongozi wa kitaifa ilishawahi kuchaguliwa kidemokrasia? kweli sasa sasa nimeamini msemo wa Rev Masaniro ni sahihi, kwamba ukiona mwanamume ana makalio makubwa basi ujue kichwani ni empty.
ndio maana tunaihitaji katiba mpya ili katika hiyo katiba mpya tuingize na haki za mashoga kupigwa pipe, maana humu kuna watu bila kutaja neno zitto basi sehemu zao za siri za nyuma huwa zinanyevuanyevua.

kwa CHADEMA ni CCM C na nyny mlisema kuwa CCM haiwezi kuwa role model wenu?

au kwenye haya ya kutaka muendeshe chama kibabe ndio mnataka kurelate CCM

kwa kweli nyny ni wafu mnaosubiri wakati wa kuzikwa
 
Katibu Mkuu wa CHADEMA ameonesha ujasiri mkubwa. Anajua matatizo ndani ya chama chake yanayoweza kupelekea chama chake kikapoteza hata kiti kimoja ilichonacho Kigoma.
Amejitokeza wazi kwenye vyombo vya habari na umma kuzungumzia mapungufu ya chama chake, tofauti na viongozi wenzake ndnai ya chama. HUU ni MTAJI tosha wa kuleta reforms ambazo wengi (akiwamo Rev Kishoka na Mwanakijiji) wamekuwa wakipendekeza zifanyike ndani ya chama.

Kwa mantiki hii, Je ambao tunapenda kuona nchi hii ikiwa nje ya makucha ya CCM na tunaamini CHADEMA ni mbadala sahihi, hatuoni kuwa sasa ni wakati sahihi wa Mh. Zitto Zuberi Kabwe kupewa jahazi la CHADEMA (awe mwenyekiti wa chama)?

Kujua mapungufu ya chama sio kukimbilia kwenye vyombo vya habari na kutafuta popularity. Ninaamini chadema wana mfumo wa kutoa maoni ndani ya chama na namna ya kuyashuhulikia mapungufu yaliyopo ndani ya chama. Zitto atumie jukwaa hilo kuondoa hayo mapungufu yaliyopo kwenye chama na sii kila wakati kukimbilia kwenye vyombo vya habari kuelezea mapungufu ya Chadema. Isitoshe yeye ni kiongozi ndani ya chama ana uwezo mkubwa sana kushawishi mabadiliko.
Assume Zitto ni Mwenyekiti wa CDM kwa sasa, wanapitisha maamuzi ambayo pengine yeye hakubaliani nayo , Je atakimbilia kwenye vyombo vya habari kupinga maamuzi ambayo yamepitishwa na vikao halali vya chama?
 
Pumba za ndege pori!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Acid mkuu heshima yako. Nasisitiza tena, sijatumwa na mtu yeyote hapa. Na ukiangalia hoja yangu utagundua haina rule out. Iko wazi, ni swali, ni kuibua kujua kwa wanaodhani wanadhamana ya kuwafikria wengine waelewe kuwa wengine wana fikiri kama wanavyofikiri wao.

Ninachokiamini, mheshimiwa Zitto kwa kupitia thread hii atajua watu wanawaza nini. Huko nyuma tumekuwa tukimshambulia huyu mwenzetu nila kutoa dira.

Angalau sasa mnaanza kuzungumzia kujirudi, huoni hili ni jema?
noted with thanks...
 
Pumba za ndege pori!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Sio pumba kaka. Kama utaacha uvivu na kuchukua muda, ukasoma vizuri utaelewa kwenye hizi unazoita pumba kuna kitu cha maana sana.

Kivuli chako mwenyewe huwezi kikwepa, kama hukitaki tafuta kitu cha kukufunika ili kivuli chako kisiwepo kabisa. This is what i mean out of what you think as pumba
 
Mh!akabidhiwe jahazi ili akiuze chama kwa CCM kiulaisi kabisa!!vipi na wewe utapata mgao nini?wewe na wenzako ni mizigo kabisa ni vema mkafanye hayo mabadiliko ya kimfumo kwenye chama chenu cha CCM,tuachieni CHADEMA yetu Mbovu!!Siku zote wakati CHADEMA ilipokuwa chama kichanga hamkutoa mawazo ya kukikuza,leo kimekuwa ndiyo mnajifanya waumini wa mfumo wa mabadiliko!
 
Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA ameonesha ujasiri mkubwa. Anajua matatizo ndani ya chama chake yanayoweza kupelekea chama chake kikapoteza hata kiti kimoja ilichonacho Kigoma.

Amejitokeza wazi kwenye vyombo vya habari na umma kuzungumzia mapungufu ya chama chake, tofauti na viongozi wenzake ndnai ya chama. HUU ni MTAJI tosha wa kuleta reforms ambazo wengi (akiwamo Rev Kishoka na Mwanakijiji) wamekuwa wakipendekeza zifanyike ndani ya chama.

Naamini wakina Rev Kishoka (kama nilivo mimi) ni waamini wazuri wa mabadiliko ya kimfumo (wa uchumi, siasa, kiutawala/uongozi na kijamii) kwenye nchi yetu nje ya CCM. Hivyo mapendekezo haya ni katika kuhakikisha chama kilichojizolea nguvu ya kuleta mabadiliko kinajipanga vema kuweza kufanya hivyo na kuweka vema public image (kupuuzia ufa ni kujenga ukuta)

Kwa nini mtaji huu wa Zitto kufahamu mapungufu ndani ya CHADEMA na kuonesha ujasiri wa kuweza kuyashughulikia usiwe MTAJI wa muhimu kufanya reform ndani ya CHADEMA maana huwezi fanya reform kwa matatizo usiyoyajua wala kuyakiri kuwa unayajua

Kwa mantiki hii, Je ambao tunapenda kuona nchi hii ikiwa nje ya makucha ya CCM na tunaamini CHADEMA ni mbadala sahihi, hatuoni kuwa sasa ni wakati sahihi wa Mh. Zitto Zuberi Kabwe kupewa jahazi la CHADEMA (awe mwenyekiti wa chama)?

Naamini atafaa na nawaomba wadau wote tumuunge mkono na kuwaomba viongozi wa CHADEMA kumpa nafasi hii Zitto aweke chama vema kama ambavyo ametanabaisha kuwa kuna mambo ya kuwekwa sawa ndani ya CHADEMA. Narudia tena, ukipuuzia ufa utajenga ukuta. GHARAMA hiyo

Una nia njema wewe kweli? Zito ambaye misimamo yake na matendo yake vimekuwa na walakini mkubwa leo apewe jukumu la kuongoza CHADEMA? Wengi tunadhani angepumzishwa katika nafasi zote alizo nazo mpaka tutakapojiridhisha kuwa yeye si ndumila kuwili, si mtu anayetafuta umaarufu binafsi, si mtu ambaye ni vigumu kuwa good team member, n.k. Kujua matatizo, kuwa na akilii, ni moja ya vigezo vya uongozi lakini kuwa na hekima na kuamini katika teamwork ni muhimu kuliko vyote, na sifa hizo, mpaka sasa Zito hajathibitisha kuwa anazo. Anahitajika kuchunguzwa zaidi kabla ya kufanya kosa la kumpa mamlaka makubwa ya chama. Mpaka sasa hajaueleza umma ukaribu wake na mawasiliano yake ya karibu na mkurugenzi wa TISS na watuhumiwa wakubwa wa ufisadi huwa yanahusu nini! Bado tuna mashaka mengi juu ya Zito, labda kama na wewe una nia tofauti na uliyoiongea
 
Nyinyi mafundi wa ukarabati kaanzeni kuikarabati kwanza CCM.Mkimaliza njooni muikarabati CHADEMA!!
 
Mkuu Tukutuku, nimekuwa CHADEMA tangu mwaka 2004 hata hakina umaarufu. Haya maslahi unayofikiri unakosea. Hoja yangu ya msingi ni kuibua fikra ambazo zitaonesha ni kwa nini watu hawawazi Zitto kuwa mwenyekiti wa CHADEMA?

kUMSAIDIA MTU NI JAMBO LA BUSARA KULIKO KUMSHAMBULIA MTU. Japo hii thread ilianza kwa kutukanwa lakini mwishoni naona watu wanarudi kwenye hoja, KWA NINI ZITTO ASIWE MWENYEKITI WA CHAMA??

Hatuwezi kupuuzia hizi chokochoko nyingine maana zinaweza kuwa na madhara makubwa huko mbeleni.

Hoja zinakuja za Zitto na kupita, kinachomalizika ni kutukana na kutoa maneno yasiyojenga mtu binafsi, chama wala yeye Zitto. Na zinapopita tunajikuta hakuna la kujenga wala Zitto hasaidiwi kujua watu wanawaza nini, na ni kwa nini wanawaza hivyo, maana watu wanaishia kutoa kejeli.
 
Una nia njema wewe kweli? Zito ambaye misimamo yake na matendo yake vimekuwa na walakini mkubwa leo apewe jukumu la kuongoza CHADEMA? Wengi tunadhani angepumzishwa katika nafasi zote alizo nazo mpaka tutakapojiridhisha kuwa yeye si ndumila kuwili, si mtu anayetafuta umaarufu binafsi, si mtu ambaye ni vigumu kuwa good team member, n.k. Kujua matatizo, kuwa na akilii, ni moja ya vigezo vya uongozi lakini kuwa na hekima na kuamini katika teamwork ni muhimu kuliko vyote, na sifa hizo, mpaka sasa Zito hajathibitisha kuwa anazo. Anahitajika kuchunguzwa zaidi kabla ya kufanya kosa la kumpa mamlaka makubwa ya chama. Mpaka sasa hajaueleza umma ukaribu wake na mawasiliano yake ya karibu na mkurugenzi wa TISS na watuhumiwa wakubwa wa ufisadi huwa yanahusu nini! Bado tuna mashaka mengi juu ya Zito, labda kama na wewe una nia tofauti na uliyoiongea

Kaka nashukuru kwa mawazo yako maana yatajenga. Zitto atajua ni kwa nini watu hawamuweki akilini kuongoza Jahazi la CHADEMA.

Anaweza kuibuka kusema hawazi kuwa, lakini picha gani inapatikana kwenye moves zake? Hapa umetoa angalizo la muhimu

Ahsante tena
 
Nyinyi mafundi wa ukarabati kaanzeni kuikarabati kwanza CCM.Mkimaliza njooni muikarabati CHADEMA!!

Kaka narudia kukuambia tena, naweza kuwa nimekutangulia ndani ya CDM na sitayumba msimamo wangu. Lakini, je thread yako inasaidia Zitto kujua unachowaza juu ya yale anayowaza juu ya CHADEMA?

Ulimsikia akiongea na TBC1 juu ya chama chake? ulimsikia alivyozungumza akiwa Kigoma?

Umechambua aliyokuwa akizungumza?

Wewe unawazaje juu ya yale unayosikia na kuona kama movies za Mheshimiwa Zitto?

Je unaweza kufahamu ni kwa nini wakati anapowaza kivingine wewe unawaza kivingine?? Huoni hili linajenga zaidi.
 
Ahsante sana kwa maswali mazuri real man, this is what great thinkers are doing.

Msingi wa hoja yangu ni kwamba tunahitaji upinzani imara nje ya mikwaruzo ili kujenga nchi imara. anaebisha hili ni anaebisha falsafa ya Demokrasia na aliezoea kutawaliwa na fikra za kudumishwa za mtu mmoja.

Nguvu kubwa na imani ya wananchi wengi iko CHADEMA na ndio maana sasa hivi hata mambo ya CUF wala vyama vingine huyasikii, mbunge wa CHADEMA akikohoa utasikia vyombo vyote vya habari vimeandika. Hii maana yake nini, CHADEMA kinakubalika kati ya wataznania

Lakini kwa sasa tunashuhudia mtu mmoja anaitwa Zitto Kabwe (naiomba nikoleze NAIBU KATIBU MKUU WA CHADEMA) akituaminisha ndani ya CHADEMA kuna matatizo yakiwamo ya Udini N.K. Na ameshikilia hviyo huku akiendelea kusema (kule Kigoma) kuwa CDM inapbidi iweke mambo sawa kabla haijapoteza hata kiti chake kimoja Kigoma.

Simaanishi mapinduzi, ila ninachomaanisha ni Zitto kupewa nafasi ya kutekeleza kile anachoamini anaweza, kuweka chadema sawa. Haya ni mambo ya Kidemokrasia na hata kabla ya msimu wa uchaguzi wa mwenyekiti wa chama ili yeye ajenge chama.

Uongozi unaweza ukaamua Mbowe ajipange kuimarisha upinzani bungeni na mikakati mingine ya kichama

KWA KUWA ANAYAFAHAMU MATATIZO YA CHADEMA, labda zaidi ya viongozi wengine, na kuweza kuyazungumza, na anaonesha ujasiri wa kuweza kuyashughulikia, hatuoni kuwa ni mtu sahihi wa kujenga CHADEMA katika kuimarisha demokrasia ya vyama vingi na yenye tija kwa nchi yetu? Hili ndilo swali langu

Uwezekano ni kuwa Zito ana matatizo makubwa kuliko viongozi wenzake isipokuwa wenzie ni watu wenye busara ambao matatizo ya yeye Zito huyaeleza kwenye vikao, na yeye Zito hujitahidi kueleza kasoro yoyote ambayo anaamini kuwa ni tatizo kwenye vyombo vya habari. Hakuna uhakika kuwa Zito anayatambua matatizo ya CHADEMA kuliko viongozi wenzake. Zito anafahamu kuwa CHADEMA inaweza kupoteza jimbo analoshikilia kwa vile anafahamu kuwa anaweza kuondoka CHADEMA, na hapo utabiri wake utakuwa umetimia. Kauli za Zito huwa ni za utatanishi na ni vigumu kuamini aliposema kuwa hataondoka CHADEMA kama kweli ndicho anachomaanisha moyoni mwake, siyo mtu ambaye unaweza kumwamini kwa asilimia 100.
 
Baums, naendelea kushukuru tena kwa mchango wako wa muhimu.

Unawasaidia wasiojua kutafuna na kumeza angalau kwa kuwatafunia. Ahsante tena
 
Ahsante sana kwa maswali mazuri real man, this is what great thinkers are doing.

Msingi wa hoja yangu ni kwamba tunahitaji upinzani imara nje ya mikwaruzo ili kujenga nchi imara. anaebisha hili ni anaebisha falsafa ya Demokrasia na aliezoea kutawaliwa na fikra za kudumishwa za mtu mmoja.

Nguvu kubwa na imani ya wananchi wengi iko CHADEMA na ndio maana sasa hivi hata mambo ya CUF wala vyama vingine huyasikii, mbunge wa CHADEMA akikohoa utasikia vyombo vyote vya habari vimeandika. Hii maana yake nini, CHADEMA kinakubalika kati ya wataznania

Lakini kwa sasa tunashuhudia mtu mmoja anaitwa Zitto Kabwe (naiomba nikoleze NAIBU KATIBU MKUU WA CHADEMA) akituaminisha ndani ya CHADEMA kuna matatizo yakiwamo ya Udini N.K. Na ameshikilia hviyo huku akiendelea kusema (kule Kigoma) kuwa CDM inapbidi iweke mambo sawa kabla haijapoteza hata kiti chake kimoja Kigoma.

Simaanishi mapinduzi, ila ninachomaanisha ni Zitto kupewa nafasi ya kutekeleza kile anachoamini anaweza, kuweka chadema sawa. Haya ni mambo ya Kidemokrasia na hata kabla ya msimu wa uchaguzi wa mwenyekiti wa chama ili yeye ajenge chama.

Uongozi unaweza ukaamua Mbowe ajipange kuimarisha upinzani bungeni na mikakati mingine ya kichama

KWA KUWA ANAYAFAHAMU MATATIZO YA CHADEMA, labda zaidi ya viongozi wengine, na kuweza kuyazungumza, na anaonesha ujasiri wa kuweza kuyashughulikia, hatuoni kuwa ni mtu sahihi wa kujenga CHADEMA katika kuimarisha demokrasia ya vyama vingi na yenye tija kwa nchi yetu? Hili ndilo swali langu

Kaka nimekuelewa vizuri!
Kwa kutazama hali na joto la kisiasa nchini si wakati mwafaka kwa ZK kufikiria kuwa kiongozi wa CDM. Sababu zangu ni:-
1.Uongozi unakuwa rahisi watu wakiwa na imani nawe kitu ambacho ZK anapungukiwa. Tumesikia wabunge wenzake wamepuga kura ya kutokuwa na imani nae.
2. Ninapata kigugumizi anaposema CDM itapoteza hata hilo jimbo moja Kigoma (kind of a threat). Ningependa kumsikia akisema atafanya kazi kufa na kupona ili historia ya CDM Kigoma isifutike mbele ya macho yake. Mkapa aliwahi kusema hayuko tayari muungano umfie mikononi mwake
3. Imewahi kuripotiwa kwa mujibu wa mama yake mzani kuwa ZK ni mbishi/si msikivu. Sasa kama hata mama analisema hilo in public ujue akipata zaidi ya alichonacho kwa sasa anaweza kugeuka dikteta. Afanye matendo yatakayotuaminisha kuwa ni msikivu.
4. Kuna taarifa anapenda kutumia vyombo vya habari na hata kutengeza habari yenyewe kupitia kwa rafiki zake. Hii ni style aloingia nayo JK madarakani na ni dhahili kwamba ndio moja ya mambo yaliyobomoa uzito wa cheo chake. Salva Rweyemamu hawezi kumwogopa (fear) Rais kwa sababu anajua nini alimfanyia JK kuupata urais. Naona huu ni udhaifu kwa ZK.
5. Matokeo ya ubunge Kigoma North hayaonyeshi kwamba anaufuasi mkubwa. Afanye kazi ili iwe another Karatu ambako kutokana na kazi aliyofanya Dr Slaa hata wewe NewDT ukienda kugombea huko kwa tiketi ya CDM utashinda.
6. Ninaamini huu si wakati wa kumfukuza kocha, ni wakati wa kuimarisha chama. Juzi nimesafiri kwa njia ya barabara kwenda Lake zone, kila nilipopita hata vijiji vya ndani kabisa utaona bendera ya CDM. Hii inamaanisha CDM inahitaji kwenda mashinani, kuimarisha ofisi za wilaya kwa maana ya kutoa nyenzo. Wawe na viongozi wa mikoa na wilaya walio kwenye pay roll ya chama, wenye vitendea kazi.
7. ZK anapoongea unapata feeling kwamba yuko too personal. Kama kuna matatizo ndani ya CDM apiganie kuweka mfumo mzuri kwa sababu mfumo mbaya utatoa kiongozi mbaya. Leo hii tunapigania Katiba mpya maana tumegundua kwa katiba ya sasa hata malaika Gabriel hawezi kutawala kwa haki.
8. Anajisikia sana ikisemekana kwamba ( na Synovate) yeye ni wa pili kwa umaarufu after JK. Hasemi umaarufu huo unatokana na nini maana hata Drogba ni maarufu. Kuwa maarufu haimaanishi wewe ni kiongozi mzuri kama ambavyo Nyerere na Kikwete wote ni maarufu lakini uwezo wao kiuongozi uko mbali kama mbingu na ardhi.

Kwa kumalizia: Kwenye dini ya kikristo kuna mafundisho kwamba ukijinyenyekeza Mungu atakuinua. Bado ninaamini ZK ana kipawa cha kiuongozi na ana nafasi ya kukijenga endapo iwapo atajikita katika kujenga TABIA yake.
 
Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA ameonesha ujasiri mkubwa. Anajua matatizo ndani ya chama chake yanayoweza kupelekea chama chake kikapoteza hata kiti kimoja ilichonacho Kigoma.

Amejitokeza wazi kwenye vyombo vya habari na umma kuzungumzia mapungufu ya chama chake, tofauti na viongozi wenzake ndnai ya chama. HUU ni MTAJI tosha wa kuleta reforms ambazo wengi (akiwamo Rev Kishoka na Mwanakijiji) wamekuwa wakipendekeza zifanyike ndani ya chama.

Naamini wakina Rev Kishoka (kama nilivo mimi) ni waamini wazuri wa mabadiliko ya kimfumo (wa uchumi, siasa, kiutawala/uongozi na kijamii) kwenye nchi yetu nje ya CCM. Hivyo mapendekezo haya ni katika kuhakikisha chama kilichojizolea nguvu ya kuleta mabadiliko kinajipanga vema kuweza kufanya hivyo na kuweka vema public image (kupuuzia ufa ni kujenga ukuta)

Kwa nini mtaji huu wa Zitto kufahamu mapungufu ndani ya CHADEMA na kuonesha ujasiri wa kuweza kuyashughulikia usiwe MTAJI wa muhimu kufanya reform ndani ya CHADEMA maana huwezi fanya reform kwa matatizo usiyoyajua wala kuyakiri kuwa unayajua

Kwa mantiki hii, Je ambao tunapenda kuona nchi hii ikiwa nje ya makucha ya CCM na tunaamini CHADEMA ni mbadala sahihi, hatuoni kuwa sasa ni wakati sahihi wa Mh. Zitto Zuberi Kabwe kupewa jahazi la CHADEMA (awe mwenyekiti wa chama)?

Naamini atafaa na nawaomba wadau wote tumuunge mkono na kuwaomba viongozi wa CHADEMA kumpa nafasi hii Zitto aweke chama vema kama ambavyo ametanabaisha kuwa kuna mambo ya kuwekwa sawa ndani ya CHADEMA. Narudia tena, ukipuuzia ufa utajenga ukuta. GHARAMA hiyo

Mkuu nimekusoma vizuri kabisa.Nimeelewa lengo lako nini?una jaribu kufanya utafiti fulani?

Hoja zangu ni hizi..Zitto ni Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA na ni Mbunge kwa awamu ya pili.Je anashindwaje kwa sasa kubali hiyo CHADEMA kwa nafasi zake alizonazo?

Nimekuwa nikiifuatlia CHADEMA kwa karibu sana bado sijaona tofauti ya kimaamuzi katika uongozi wa juu,labda kuongoza vikao vya kamati kuu tu..Kimsingi Katibu Mkuu na Naibu Katibu Mkuu ndio wanaweza kuiharibu au kuitengeneza CHADEMA kwakuwa wao ndio viongozi wa sekretariet ya chama hicho,mapendekezo yote ya maamuzi yanaanzia kwako.Mwenykiti anashirikishwa tu,yeye kazi yake ni kuongoza kamati kuu hivyo bado Zitto anafursa ya kubadilisha CHADEMA kama ana amini ana uwezo huo,kwanini Uenyekiti au kuna maslahi binafsi ya kiuongozi?Zitto wala hana sababu ya kuililia uenyekiti,anaweza akabaki na nafasi yake na akafanya vizuri?mbona kina Mnyika wanafanya vizuri tu kuiinua CHADEMA na hawana nafasi yeyote kubwa ndani ya chama hicho?

Jamani hivi ueneykiti una siri gani mbona watu mnaililia hivyo?

Nawasilisha....
 
Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA ameonesha ujasiri mkubwa. Anajua matatizo ndani ya chama chake yanayoweza kupelekea chama chake kikapoteza hata kiti kimoja ilichonacho Kigoma.

Amejitokeza wazi kwenye vyombo vya habari na umma kuzungumzia mapungufu ya chama chake, tofauti na viongozi wenzake ndnai ya chama. HUU ni MTAJI tosha wa kuleta reforms ambazo wengi (akiwamo Rev Kishoka na Mwanakijiji) wamekuwa wakipendekeza zifanyike ndani ya chama.

Naamini wakina Rev Kishoka (kama nilivo mimi) ni waamini wazuri wa mabadiliko ya kimfumo (wa uchumi, siasa, kiutawala/uongozi na kijamii) kwenye nchi yetu nje ya CCM. Hivyo mapendekezo haya ni katika kuhakikisha chama kilichojizolea nguvu ya kuleta mabadiliko kinajipanga vema kuweza kufanya hivyo na kuweka vema public image (kupuuzia ufa ni kujenga ukuta)

Kwa nini mtaji huu wa Zitto kufahamu mapungufu ndani ya CHADEMA na kuonesha ujasiri wa kuweza kuyashughulikia usiwe MTAJI wa muhimu kufanya reform ndani ya CHADEMA maana huwezi fanya reform kwa matatizo usiyoyajua wala kuyakiri kuwa unayajua

Kwa mantiki hii, Je ambao tunapenda kuona nchi hii ikiwa nje ya makucha ya CCM na tunaamini CHADEMA ni mbadala sahihi, hatuoni kuwa sasa ni wakati sahihi wa Mh. Zitto Zuberi Kabwe kupewa jahazi la CHADEMA (awe mwenyekiti wa chama)?

Naamini atafaa na nawaomba wadau wote tumuunge mkono na kuwaomba viongozi wa CHADEMA kumpa nafasi hii Zitto aweke chama vema kama ambavyo ametanabaisha kuwa kuna mambo ya kuwekwa sawa ndani ya CHADEMA. Narudia tena, ukipuuzia ufa utajenga ukuta. GHARAMA hiyo

Yaani bora hata tuazime mtu toka CCM aje kuwa mwenyekiti huku tukijua juwa tumempa adui yetu rungu kuliko kuwa na mtu ambaye mpaka sasa hatumuelewi (hatuna imani nae) aagh! awe mwenyekiti tena si utashangaa katuuza wote.
 
Back
Top Bottom