Hoja binafsi: Mwigulu Nchemba apewe uwaziri wa fedha

georgeallen

JF-Expert Member
Jun 3, 2011
4,118
1,868
Kutokana na umahiri wa Mwigulu Nchemba wa kunukulu matheories na theorists kibao, kukandia bajeti ya upinzani, kuiita rubbish na kuitupa; nakusudia kupeleka hoja binafsi kwa mkuu wa kaya ili amteue awe waziri wa Fedha. Kwa Wananiunga mkono tafadhali changieni hoja zenu zenye mshiko hapa . Nafikiri atatufaa huyu kijana kuliko yule mzee wa kihehe.
 
unataka hoja za mashiko, wewe zako ziko wapi?
uwezo wake mkubwa wa kukandia bajeti ya upinzani, uelewa wake mpana wa theories/theorist wa uchumi na fedha, uwezo wa kutukana wapinzani bila spika au lukuvi kuingilia kati kwa miongozo, uwezo wa kukataa kufuta kauli hadi akubali mwenyewe ......endelea kuanzia hapa
 
uwezo wake mkubwa wa kukandia bajeti ya upinzani, uelewa wake mpana wa theories/theorist wa uchumi na fedha, uwezo wa kutuka wainzani bila spika au lukuvi kuingilia kati kwa miongozo, uweza wa kukataa kufuta kauli hadi akubali mwenyewe ......endelea kuanzia hapa
kwa hiyo wewe hizi 'sifa' ndio unaona ni unique na zinafiti kazi ya uwaziri wa fedha?
 
Hii ni nchi usifikiri ni simba fc au Yanga Afrika ambapo ukifunga goli moja kati hizo mbili then Star na unaitwa timu ya taifa.

Hii unayose si hoja binafsi as long as ina national interest, mimi binafsi sina objection na Mwigulu kama atakuwa progressively a good performer si kwa kupingana kwa maneno na wapinzani jukwaani au bungeni, isipokuwa kiutendaji.

How well will Mwigulu helpe this country meet its objective given the external constaits,
 
naona kama ngekewa mwigulu kuwa waziri wa fedha! mwigulu naye siasa haiwezi anatapatapa tu anajaribu kugain popularity lakini inamshinda. shuka vitu kama akina mnyika ama zitto si kutukana tukana.
 
Unamzungumzia nani mkuu? nimeisoma hiyo thread yako lakini bado sijaielewa!!!!! Ohooooo! Kumbe ni Yule mzinzi aliyekamatwa na mke wa mtu kule Igunga? Kama ni huyo Hana nafasi kwenye nchi inayo hitaji watu wastaarabu

Mwigulu na Slaa mama moja baba moja....! Wote wamechukua wake za watu.....! Tena wa ndoa ....ndoa za KKKT!!! Wakabidhiwe mamlaka sawa!!!
 
Mwigulu na Slaa mama moja baba moja....! Wote wamechukua wake za watu.....! Tena wa ndoa ....ndoa za KKKT!!! Wakabidhiwe mamlaka sawa!!!
Lakini Mwigulu alifumaniwa akiwa na mke wa Jamaa fulani wa mwana jumuiya wa UAMSHO kweli mahakama ya Kadhi ingekuwepo sijui ingefanyeje kwa Mwigulu haiapply lakini lakini kwa mke wa Jamaa wa UAMSHO ina apply kwi! kwi! kwi! kwi! ha ha ha
 
Mwigulu ni mmoja ya watu walio tayarisha bajeti hii ya kijingajinga ndio maana jana alitoa povu sana kuitetea.
 
mwigulu ni faru,mpenda madaraka na ukitaka kujua waulize waliosoma nae illboru na mazengo,alikuwa wa kwanza kukimbia kuwahi mstari wa uji aka sumu na wali aka kitei,,kwa ufupi kwa kukariri yuko poa ila si mtu wa kufikiria nafasi kama hiyo labda na wewe ni type hiyo ya uchu wa madaraka.Mazengo walimpiga chini hp.
 
Kutokana na umahiri wa Mwigulu Nchemba wa kunukulu matheories na theorists kibao, kukandia bajeti ya upinzani, kuiita rubbish na kuitupa; nakusudia kupeleka hoja binafsi kwa mkuu wa kaya ili amteue awe waziri wa Fedha. Kwa Wananiunga mkono tafadhali changieni hoja zenu zenye mshiko hapa . Nafikiri atatufaa huyu kijana kuliko yule mzee wa kihehe.

Apewe uwaziri wa fedha wa nyumbani kwenu
 
Kanuni za bunge haziapply kwa kina mwigulu na john komba!lukuvu hakuweza kuvumilia maneno ya kawaida ya lissu kuwa its shame against government na wabunge wake lakin wengine kuwaita wenzagi wanasheria wa uchawi na kutupa kitabu cha budget yupo kimya!tumewaelewa na kiyama chao chaja
 
Back
Top Bottom