mzamifu
JF-Expert Member
- Mar 10, 2010
- 6,379
- 3,826
Tangu nchi za kaskazini mwa afrika kukumbwa na mapinduzi yaliyojikita zaidi katika kile kinaichoitwa nguvu ya umma yaani People's Powower kwa vyovyote nchi nyingine barani Afrika zinaweza kujenga hofu ya kukumbwa na hali kama hiyo.
Hivyo kila inapoonekana dalili ya kuandamana au kukusanyika kwa makundi yoyote vyombo vya dola lazima vi-react kwa nguvu zote ku-supress such movement ili kuepusha makubwa zaidi. Je, yaliyotikea Arusha, Morogoro na Iringa yanaweza kutafsriwa kama matokeo ya hofu ya namna hiyo?