Hofu ya kuambukizwa- Ajifunga kufuli sehemu za siri....Hapa hapa Tanzania

SG8

JF-Expert Member
Dec 12, 2009
3,955
2,125
Habari hii ipo kwenye gazeti la Mwananchi la Jumapili kwamba Peter Nyamanyafu (34) kijana kutoka Buhare Musoma Mjini ameamua kufunga kwa kufuli sehemu zake za siri na funguo kumkabidhi Mchungaji ikiwa njia aliyoona inafaa kumweka mbali na maambukizi ya Ukimwi (VVU).
Akielezea jinsi alivyojitengeneza na kufunga kufuli hilo, Nyamanyafu anasema "nilichemsha mdenge (spoku) ya baiskeli kwenye moto, kisha nikatoboa na kufunga kufuli. Kwa kweli maumivu yalikuwa makali lakin nilivumilia kwa sababu nilikuwa nimedhamiria"

Haya wana MMU njia ya kujikinga na maambukizi hiyo baada ya ABC kutokuwa effective.

Ukimwi upo na unaua.
 
duh nlivyoona neno musoma tu nkakubaliana na weye kiroho safi.........
vipi na wadada nao wafunge??
 
  • Thanks
Reactions: SG8
Huyo bila shaka anasumbuliwa na mapepo!
Naitisha mchango apelekwe kwa T.B. Joshwa Nigeria!
 
gundi gani lile la kugundishia mbao??

kuna gundi inaitwa partex wanagundishia magodoro ni noma ile kitu...ukiweka yaani "no access"

Hahahaaa...Ndio hiyo hiyo Mkuu... Yaani hakuna access kabisaaa
 
na mie nna mpango wa kumfunga wife maana simwamini amini naona anazidi kupendeza tu wakati sigharamii isije kuwa wajanja washaanza kusogeza pua zao.......
 
Mmh...Usinichekeshe.. Uache kujifunga wewe hiyo mikufuli ukamfunge mwenzio halafu wewe Uendelee kuwabanjua mabinti.. Inaanza na wewe.. Lol
 
Tatizo hajui njia nyingine zinazoambukiza ukimwi. Mi nikifika nyumbani kwa watu nikaona kiwembe kiko uchi I freak out afu wao wanabaki kunishangaa!
 
Habari hii ipo kwenye gazeti la Mwananchi la Jumapili kwamba Peter Nyamanyafu (34) kijana kutoka Buhare Musoma Mjini ameamua kufunga kwa kufuli sehemu zake za siri na funguo kumkabidhi Mchungaji ikiwa njia aliyoona inafaa kumweka mbali na maambukizi ya Ukimwi (VVU).
Akielezea jinsi alivyojitengeneza na kufunga kufuli hilo, Nyamanyafu anasema "nilichemsha mdenge (spoku) ya baiskeli kwenye moto, kisha nikatoboa na kufunga kufuli. Kwa kweli maumivu yalikuwa makali lakin nilivumilia kwa sababu nilikuwa nimedhamiria"

Haya wana MMU njia ya kujikinga na maambukizi hiyo baada ya ABC kutokuwa effective.

Ukimwi upo na unaua.

Wadau, mwandishi wa habari hiyo niko naye hapa SAUT kwa training na amenipa picha ikionyesha uume wa kijana Peter Nyamanyafu ukiwa umefungwa kufuli.Sina hakika kama Mods wanaweza kuniruhusu kuitupia hapa jamvini hiyo picha but kiukweli jamaa kapiga kufuli na funguo kampa mchungaji.....
 
Mheshimiwa "Mbunge" wa Temeke nashukuru kwa ushuhuda wa macho. Labda Mods watakuruhusu uweke kule kwa wakubwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom