Hofu kuu.

Michael Mwakyusa

JF-Expert Member
Mar 18, 2012
306
55
Wapendwa nina hofu kubwa sana kuhusu ninao amini kuwa ni uchochezi unaofanywa na vyombo fulani vya habari vya kidini hapa nchini vimenijenge chuki dhidi ya dini fulani,mwanzoni sikuwa na hiyo hali,sasa nina hofu kwamba inawezekana ikawa hivyo kwa wengine pia,je hatma yake itakuwa ipi.
Naomba sana serikali,usalama wa taifa msilale hali ni mbaya,funga hivi vyombo,tutalazimika kujenga ukuta kwa ufa huu.Nawakilisha.
 
Back
Top Bottom