Hofu kubwa

Long distance relationship, tabu sana chochote chaweza kutokea. Hii haitabiriki hata ungekuwa umemvisha pete
 
Ni nia yangu tuu kuomba ushauri na kukusanya ushauri mbalimbali kutoka kwenu ,then nifanye maamuzi!

Ushauri na maoni gani? Kuna probability mbili au tatu hapa,
1. Wewe waweza change mind
2. Yeye anaweza change mind
3. Mnaweza subiriana

Kufunga ndoa kabla umeshauriwa umesema haiwezekani.
Kumpa mimba ni njia lkn haigarantii asilimia 100.

Haya suppose watu wengi wamesema ni vigumu, unafanyaje you quit au unakuwa na mtu spare just in case?
Na what if naye anashauriwa na watu atafute spare huoni mnakuwa mmeharibu kila kitu.
Kwanini usijiamini kuwa anakupenda na jinsi ulivyo hakuna mwingine duniani kama wewe (which is very true)!
 
Dogo sikia nikwambie kama mnaamini mnapendana then just go kwa sababy kama una hofu kuwa atakucheat, anaweza kufanya ivo hata mkiwa mmeoana au kuvishana pete ye uchumba

Ukiniambie suala la kumkuta physically akiwa anakusubiri wewe kama wewe kuwa ndo linakupa hofu kwamba atakuwa ameolewa na mtu mwingine then naweza kukuelewa...ila tena inategemea kama anakupenda unampenda haina shida hataweza kufanya ivo

Na ili kuhakikisha humpotezi hakikisha unawasiliana naye KILA SIKU tangu ukiwa umefika huko. Siku hizi kuna Skype achilia mbali simu so that should not be a barrier.

Nimempeda amekushauri jambo la maana kuwa ukasome...at least anaonyesha kuwa na future na wewe...wengine wangedai utupie mbali umuoe yeye afu sijuimngeangaliana tu humo ndani?
 
Dada Kaunga, nashukuru sana kwa ushuri wenu, hili jambo limeniumiza kichwa sana.
 
the way i know girlz hua ana m2 anaemuadore 4 sure so kama n ww utaoa ukirud japo kama n kulalwa atalalwa tu kama akihindw kujizuia ila hata kutosa
 
Dogo sikia nikwambie kama mnaamini mnapendana then just go kwa sababy kama una hofu kuwa atakucheat, anaweza kufanya ivo hata mkiwa mmeoana au kuvishana pete ye uchumba

Ukiniambie suala la kumkuta physically akiwa anakusubiri wewe kama wewe kuwa ndo linakupa hofu kwamba atakuwa ameolewa na mtu mwingine then naweza kukuelewa...ila tena inategemea kama anakupenda unampenda haina shida hataweza kufanya ivo

Na ili kuhakikisha humpotezi hakikisha unawasiliana naye KILA SIKU tangu ukiwa umefika huko. Siku hizi kuna Skype achilia mbali simu so that should not be a barrier.

Nimempeda amekushauri jambo la maana kuwa ukasome...at least anaonyesha kuwa na future na wewe...wengine wangedai utupie mbali umuoe yeye afu sijuimngeangaliana tu humo ndani?
am proud being ur mwalimu!
 
2 years parefu hapo dah mybe muwe mnasali kila cku kuepuka vishawish vinginevyo wote mta cheat bt mnaeza kuja oana lakin kila mtu atacheat kwa nafasi yake sehemu alioko jipeni moyo lakn
 
itakuwa hivi: usiku wa ww kuondoka atahuzunika sana, akiwa anakusindikiza airpot atalia sana, ukipanda ndege atateseka kwa kwikwi hata kushndwa kula, ukifika huko atakupigia cm asbh, mchana, jion na full text, baada ya miez 3 utapata call 2, then 1, finaly no call.
 
Dooh! Wenzio wanaoa mimba siku hizi!
Utashangaa! Wanailea, wanaoa ukija unaambiwa sio mwanao baba!

Kwani mkubwa mzima si uoe na wewe? Ama mamako kakataza? Manake choyo ya kumhudumia dada wa watu wakati akiwa hayupo ndo inakusumbua! Kwa mapenzi ya siku hizi, mi hata huyo dada simshauri akusubiri!
Tia mimba nenda kasome...utaongeza chances za kumkuta!
 
Kabla ya kuondoka ongea naye yote uliyonayo moyoni kadhalika umruhusu na yeye pia afunguke!!
Learn how to learn..!!
 
Long distance ina changamoto zake pia. Hivyo ni muhimu mkazingatia sana suala la mawasiliano utakapoondoka, kuna vitu vingine hamtaweza kuelewana kwa text messages zaidi ya kuongea kwa simu/skype. Inahitaji uvumilivu na uelewa kwa vile mtakuwa mbalimbali.

Pia jitahidi hata ndani ya miaka miwili ukasalimie nyumbani mara moja (kama itakuwa ndani ya uwezo wako) au yeye vilevile anaweza kuja kukusalimia..Yote ni mipango kwa jinsi mtakavyopanga nyie wawili mathalani umesema una future nae.

Ukiwa mbali nako unaweza kusikia mambo mengi tena mara nyingi mabaya juu ya mpenzi/mchumba wako, hivyo jiandae kuchuja ukweli na uongo. kuna watu wengine wakijua penzi lenu linaendelea kutwa watakuwa wanakuletea habari mbaya kuhusu mpenzi wako(kujua ni za ukweli au uongo, hapo inahitaji busara zaidi). Vinginevyo unaweza kumchunia binti wa watu kumbe umesikia vitu vya uongo na kufanya maamuzi yako binafsi bila kumfikiria mwenzio.

Kama kutakuwa na uhakika wa kuwasiliana 100%, jitahidi muwasiliane kila siku, hii inaleta imani na hisia kuwa mtu anakujali na kukukumbuka katika maisha yake ya kila siku.. isipite siku hamjasikiana iwe text, email au hata kuongea.

Nimepitia huko pia, experience inaweza kuwa tofauti lakini long distance si mchezo mkuu!! kila la kheri.
 
mkuu unachojiuliza kuna uwezekano mkubwa na yeye pia anaweza kuwa anajiuliza hvo.mapenzi yanahitaji utashi wenu wote wawili na kukubaliana katika hali zote lkn mapenzi ya long distance yanahitaji hvo vitu viiimarishwe zaidi.pia anaweza kukusubiria ila kunaweza kuwa na aina zaidi ya moja ya kukusubiria au kumsubiria. na yafuatayo yanaweza kutokea.
1.anaweza akasubir/ukasubiri bila kuwa na mahusiano yeyote ktk kipindi chote.
2.anaweza akasubir/ukasubiri kwa kutafuta mtu wa kukidhi haja zenu ktk kpindi hicho na hii ndio mara nyingi inawakuta mahusiano mengi na hatimaye kuvunjika.
3.mnaweza mkasubiri hadi muda mtakao kuja kuonana tena na pale kila mtu atapata picha halisi ya mtu niliyekua namsubiri.
Nb;ili mdumishe mapenzi yenu ni vyema mkaaminiana na kudumisha mawasiliano ikiwezekana yaongezeke kwa kipindi cha umbali wenu.
 
Back
Top Bottom