Hofu kubwa kwa mitandao ya kijamii

jane_000

JF-Expert Member
Feb 9, 2012
547
43
serekali wanaogopa hii mitandao ya jamii habari zinafika kwawananchi mapema sana bila wao kuzifikisha wao wanajaribu kubada habari za msingi wanaogopa kufikisha ujumbe kwa wananchi
 
Thats obvious jane_000 ,hakuna serikali duniani inayopenda hilo. Leo Assange wa Wiki leaks anawindwa kama sungura na Serikali hata ya Marekani. China huko mitandao ndo ina dhibitiwa kiaina.
Serikali ijifunze tu kuwa karibu na wananchi wake ili tuwe pamoja.
 
Toka lini mwizi na mwenye mali wakawa na undugu?Viongozi wetu awataki madudu yao yaanikwe hadharani.wanataka tuwaone wema machoni kumbe huku nyuma wanatuibia.
 
Wakitaka kuwa salama waache uwongo na wawapende raia wao
na ipo siku watakosa wakumtawala
na jamii ndiyo yenye nchi na mamlaka
 
Back
Top Bottom