hodiiiiiiiiiiiiiiiiii

giningi

Member
Jun 12, 2011
52
27
hodi jf,pliz nikaribisheni na nipeni maelekezo jinsi ya kuweka avatar na mengineyo maana mwe kiinglish kigumu!
 
hodi jf,pliz nikaribisheni na nipeni maelekezo jinsi ya kuweka avatar na mengineyo maana mwe kiinglish kigumu!

Giningi hayo maneno nilo bold umeandika vizuri saana na uja chakachua
hivyo cha kuombea maji na kusoma intructions wamo...
Ni rahisi,,, fuata ushauri wa chapaa na utafanikiwa...

Karibu saana JF... na relax and be comfortable woote tulianza hatujui kuweka avatar..

Enjoy...
 
giningi naingia kwa mdundo jamani wala sina spidi,asanteni kwa kunikaribisha jamvini
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom