Hodiiiiiiiiiiiiiiii !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Kilimasera kwani hilo jina lina nn kiongozi wangu,..nawashukuru sana wazazi wangu pamoja na majirani zao waliokaa kikao cha dharura siku nilipo kuja dunian na kunichagulia jina hili ninalolipenda la "igwe".Naamini kama wangenichagulia majina kama John,Brayson,Williamson,Benson,Isaac,Athuman,Omari,Jabir,Mohamed and the like--hakika upevu wa akili zangu usingekamilika bila kwenda mahakamani na kuapa kuyakana majina hayo kwa nguvu na akili zangu zoooote kabisa ------napenda kuitwa Ambonisye,Andwele,Nisile,Mollel,Shemhongo,Massawe,Fungo na mengine mazuri kama hayo
 
Back
Top Bottom