Afadhali umetokea manake mgeni kidogo aage lol........mpe maji tu!
Amepoa sasa, hawezi kuaga hapa kafika...
ukisikiaaaa kariiibuuuu ingiaaaaaaaaa......you are warmly welcome......Karibu sana kwa niaba ya sweetlady nakurusu uingie ndani, ila soma kwa makini sheria na kanuni zetu hapo nyuma ya mlango.