Hodiiii!

karibu, cha muhimu kuwa mvumilivu hasa kwa hoja za wenzako hata kama uzipendi au zinakukwaza zipinge na kuzikosoa kwa hoja, cha msingi tupo kujengana na kuelimishana na si kujenga uadui. Karibu sana
 
karibu sana jamvini Isinkini, ushushe madude kwa magreat thinkers na wewe uwe mmoja wa magreat thinkers. This is the home of great thinkers, karibu sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom