P Peepee New Member May 19, 2010 3 0 May 19, 2010 #1 Hodi hodi mashosti wenzangu. Aah sibagui jamani mambo vp wakaka. Najiunga rasmi... Mnipokee...
Teamo JF-Expert Member Jan 9, 2009 12,272 1,035 May 19, 2010 #2 karibu sana!wewe utakuwa rafiki yangu,nimekuwahi kabla kaizer hajaanza vurugu yake,HEBU NI-PIEMU MAMA
karibu sana!wewe utakuwa rafiki yangu,nimekuwahi kabla kaizer hajaanza vurugu yake,HEBU NI-PIEMU MAMA
Dreamliner JF-Expert Member Jan 17, 2010 2,034 213 May 20, 2010 #4 Karibu Mama! Ingia mpaka chumbani TAFADHALI!
Kaka Sam JF-Expert Member Jul 29, 2009 540 78 May 20, 2010 #5 karibu sana mamaa, ingia mpaka jikoni tuone mambo yako.