Hodi

Jul 1, 2012
20
2
Nimeingia rasmi ktk jukwaa hili la jamii forums kwa nia ya kujenga tanzania tunayoitaka kwa hoja, bila kupendelea itikadi ya chama chochote kwa maslahi tunayotaka. Penye kukosoa na penye pongezi nitaonyesha. Uongo na unafki mwiko.
Tanzania tunayoitaka ipo mikononi mwetu
 
Acha unafiki mgeni,Tanzania gani hiyo unayoitaka kwa kuweka itkadi za vyama pembeni
 
Back
Top Bottom