Hodi Wenyewe

Mimi Mgeni Kabisa Jamvini naomba mnipokee kama nilivyo. Asanteni

Karibu sana Amanda na mm ni kuku mgeni ingawa kamba yangu ni ndefu. humu mam ya siasa ,burudani, sayansi, sheria, biashara na mengi mnegi yayomgusa binadamu.

Ni chaguo lako kuchagia Hoja au kuwasiliha hojaau kukubaliana na hoja au kukataa hoja kwa kutumia hoja za nguvu kulingana na uelewa wako au taarifa ulizonazo

Utajifunza mengi na wana JF watajifunza mengi kutoka kwako ukipenda na usipokuwa mchoyo

Karibu sana.
 
Karibu ndani, karibu yakye siye twala tu ya busara toka kwa wenye busara zao. Nadhani we ondoa shaka tupo pamoja kama wamoja kwa pamoja tunangoja.
 
Karibu Amanda....
Karibu mamiii....
Jisikie nyumbani....
Tena sebuleni....
Ukila maini....!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom