Hodi waungwana wa JF

Moha;Heshima mbele,naomba mnipokee

Karibu sana Jf great thinkers,zingatia masharti tukuze jamii yetu
 
Nilikaribishwa hivyo sina budi kukukaribisha nawe ili ukaribishe wengine. Karibu Ndugu! Karibu sana jisikie huru ila usiguse usivyovijuwa tafadhali, hii ni meli kubwa mno.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom