Hodi wangwana!

Bones

Member
Apr 1, 2011
17
0
Waungwana husalimiana,
habari za hapa ndani!
Mwenzenu mgeni hapa hvyo nahtaji wenyeji waniongoze,
natanguliza shukrani zangu kwenu!
Ahsante.
 
Kweli sasa najihisi nipo nyumbani,
ahsante sana kwa chai!
Iman na ukarimu ndio hulka yetu waungwana ambayo tumerithi kutoka kwa wazee wetu,
hvyo
TUIDUMISHE idumu daima nasi!
 
Karibu sana Bones, huyo aliyekufungulia mlango anaitwa sweetlady na mimi naitwa katavi, subiri kidogo chatu dume akuletee chai!
 
Hakika ungwana ni vitendo na sasa naamini!
Ahsante sana Katavi na Sweetlady kwa ukarim wenu!
 
karibu saaana bones! wapi bone marrow, masozi, mishipa, stake na wengineo! hapa full kujiachia! napenda nikutambulishe kwa DA, rose1980(the choclate of my heart), lizzy, na suzzy bila kumsahau rutashubanyuma a.k.a wo omuka.
 
Bones...............karibu sana,hujambo na huko utokapo hawajambo?
:mvutaji: karibu fegi kama unavuta
 
:A S-coffee::A S-coffee::A S-coffee::A S-coffee::A S-coffee: sukari inatosha?
 
:love:


Karibu sana Bones...........You remind me of the film i like the most.........Mr. Bones
 
Back
Top Bottom