Hodi wanatafakuri wenzangu

Rweye

JF-Expert Member
Mar 16, 2011
16,958
7,512
Kwa wale wa kemondo... mwasibayo muta waitu,wa Longido... subahi,wa Nyungu ya mawe... Moniri,wa kama ni vita... Mbuyole,wa mwisho wa reli... mlakomeye,walina asali... Mwandila,wanyalukoro... kamwene...narudi kwetu JF naomba mnipokee pasipo mwongozo wa kifungu cha 68!!
 
Back
Top Bottom