Binti Kimanzi
Member
- Sep 20, 2010
- 10
- 1
Habari zenu..... am a new member naombeni mnikaribishe ili nijisikie sijapotea kuchagua kuwa hapa home of the great thinkers.
karibu bint kimanzi.. jembe lipo kwenye kona hapo.. twende shambani tukalime...:becky:[/QUOT
Kilimo kwanza!!!!!
bado tunatumia jembe la mkono???????
Hivi hawa ni wageni kweli hawa? I doubt it
naona umewashtukia.....mazee
Augusteeeerz haoHivi hawa ni wageni kweli hawa? I doubt it
Habari zenu..... am a new member naombeni mnikaribishe ili nijisikie sijapotea kuchagua kuwa hapa home of the great thinkers.