Hodi WanaJF

First Eleven

Member
Apr 2, 2011
20
1
Hakika mwenendo wa taifa letu tangu tupate uhuru miaka 50 iliyopita haileweki kwa kila kukicha. Maisha yamezidi kuwa duni na magumu. Kuwa na mfumo wa Kisiasa wa vyama vingi kigeresha. Kwamfano, suala la kikatiba inaonyesha serikali ya CCM inajitengenezea katiba kwa mipango ya kutawala milele, wakisahau wametawala miaka zaidi ya hamsini BILA mafanikio na sasa ni wakati wa kuwaachia Watanzania wengine wenye uwezo kuongoza taifa hili.

Hivyo basi mahali mojawapo pa kupata khabari na kushiriki kimawazo ni hapa JAMVINI, JF. Hodi! Hodi! Wana JF...
 
CCM inajitengenezea katiba kwa mipango ya kutawala milele, wakisahau wametawala miaka zaidi ya hamsini BILA mafanikio na sasa ni wakati wa kuwaachia Watanzania wengine wenye uwezo kuongoza taifa hili.

Hodi! Wana JF...

waonekana ni "mshabiki" wa siasa.
In JF kuna manazi wa CCM, CDM, CUF, NCCR, TADEA you name it. Utapata wenzako mtapeana shavu and be prepared kwa criticism kwa wenye msimamo tofauti na wewe.
Ukihitaji ku-relax kumbuka kutembelea chumbani utawakuta kina Mchonga, El-Toro na Maria Roza wako bize.
Karibu JF
 
karb sn! Nimeipenda sytle yko ulyoingia nayo! Wewe ni mgen kwel? Krb.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom