Hodi WanaJF wa Chit - Chat! Nawakubali haswaaaaa!!

Warembo tumejaa tele.
Ila humu kila mtu ana wake.
Iwapo utahitaji mke,nitakufanyia udalali kichwa 1 $500,000.
Ukiwa tayari nambie paul milya
sina imani na wewe mwali na kesho asubuhi natoa ripoti kamili kwa kungwi mkuu gfsonwin manake aliniacha makusudi hapa ili nikulinde kumbe kwl usharuka ukuta upo tu unadendeana na hubby wako rutta
 
Last edited by a moderator:

Kwi kwi kwi kwi kwii kwiii! Dah humu kuna mambo kweli kweli!
Naomba nisije tenganisha ndoa ndoano za watu!
 
Last edited by a moderator:
wewe kijana paul milya umekuja na mangapi weye humu?

sasa kabla sijafumbua macho ondoka upesi manake umemfanya hadi mwali wetu Madame B aonekane kigego kwa kutitii masharti ya sie makungwi wake.

ukitaka kuish humu masharti ni haya,,,,,,,,,,,,,,,,,,,
huruhusiwi kutafuta kapo hadi uidhinishiwe na mwanasheria rutta, na lazima patna wako awe ame qualify ukaguzi wa Asprin ama Erickb52 sawa ama unakataa?
 
well done
 
huo mkwara lazima mgeni atokee mlango wa uani!!!
 
Last edited by a moderator:
wewe kijana paul milya umekuja na mangapi weye humu?

sasa kabla sijafumbua macho ondoka upesi manake umemfanya hadi mwali wetu Madame B aonekane kigego kwa kutitii masharti ya sie makungwi wake.

ukitaka kuish humu masharti ni haya,,,,,,,,,,,,,,,,,,,
huruhusiwi kutafuta kapo hadi
uidhinishiwe na mwanasheria
rutta, na lazima patna wako awe ame qualify ukaguzi wa Asprin ama Erickb52 sawa ama unakataa?

Kazi ipo jamani!
Lakini masharti na vigezo ntazigatia hakika!
 
Hapo pekundu Mkuu!

Kazi ipo jamani!
Lakini masharti na vigezo ntazigatia hakika!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom