Hodi WanaJF wa Chit - Chat! Nawakubali haswaaaaa!!

paul milya

JF-Expert Member
Oct 18, 2012
285
93
Wanajukwaa legwa nawakubali Wandugu ktk harakati ya hapa na pale hp jukwaani!
Mi ni mgeni lakini ninafuraha kuwa nanyi pale mtakapo nikubali kwani nimekuwa naperuz kitambo na mpaka sasa nimeamua kukita ndani fluuuu!

Tu pamoja Wakuu wote!

Full Time!
 
Karibu sana! Lakini kumbuka mke wa mtu sumu yasije yakakuta ya ndug sharobaro!

Utakaguliwa na mabinti warembo jiandae ukiwa tayari kwa ukaguzi utaniambia ili ni kupe list ya mambinti watakao kukagua!
 
Karibu sana! Lakini kumbuka mke wa mtu sumu yasije yakakuta ya ndug sharobaro!

Utakaguliwa na mabinti warembo jiandae ukiwa tayari kwa ukaguzi utaniambia ili ni kupe list ya mambinti watakao kukagua!

Mkuu! Nipo makini kupindukia kabisa!
Natamani lakini kuwaona warembo wa jukwaa lengwa!

Hapo kwenye red Mkuu!
 
Mkuu! Nipo makini kupindukia kabisa!
Natamani lakini kuwaona warembo wa jukwaa lengwa!

Hapo kwenye red Mkuu!

Warembo tumejaa tele.
Ila humu kila mtu ana wake.
Iwapo utahitaji mke,nitakufanyia udalali kichwa 1 $500,000.
Ukiwa tayari nambie paul milya
 
Last edited by a moderator:
Warembo tumejaa tele.
Ila humu kila mtu ana wake.
Iwapo utahitaji mke,nitakufanyia udalali kichwa 1 $500,000.
Ukiwa tayari nambie paul milya

Jamani! Acha basi kunitishia kwa $ money hizi tunakuwaga nazo tu!

Ila ntafikiria kwanza maana unaweza telekeza familia hivi hivi,Kisa jukwaa lengwa la Chit-Chat!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom