Hodi WanaJF mpaka chumbani

bhageshi

JF-Expert Member
Jul 24, 2010
264
101
Hi all,
Natumai mtanipokea na kunipeleka kote mnakokufahamu humu JF. Thanks
 
Hii nyumba ya JF haina wenyewe mbona hamkaribishi wageni!!
 
Wewe karibia tu jichanganye mkubwa.
Hapa kuna kila aina ya watu na thread. Utajifuna na tutajifuna mengi kutoka kwako


  • Kuna aina ya watu wanapost tu thread for the sake apate replies nyingi. watu wa aina hii wanaweza wakaandika na kusimamia kwenye uwongo ingawa hata wao wanajua nafsini mwao ukweli na njia sahihi ni ipi. Tena kwa kipindi hiki tunakoelekea uchaguzi mhh naona siku hizi post nyingi.


  • Kuna watu wanaandika na kupost thread kwa nia kubadilisha mawazo,kupata challenges katoa mawazo na mitazamo mipya ya kujenga kwenye bila kusimamia kwenye misingi ya dini na ukabila
Kifupi kuna kila aina ya watu wa CCM CHADEMA, CUF, WAISLAM, WAKRISTU WASHIO NA DINI, WA USA, UK TANZANIA n.k ni kama mtaani tu

kwa hiyo karibu sana. hope utatumia busara zako, utatumia HAKI na WAJIBU wako vizuri
 
Bhageshi...........umetustua kidogo...................mpaka vyumbani mwetu yakhe?:nono: Weye ishia kwanza sebuleni uzoweye kidogo eeh?

Karibu kigoda kaa mkao wa kuandika na kutype!
 
bhageshi...........umetustua kidogo...................mpaka vyumbani mwetu yakhe?:nono: Weye ishia kwanza sebuleni uzoweye kidogo eeh?

Karibu kigoda kaa mkao wa kuandika na kutype!

nashukuru sana kwa ukaribisho wako ndugu maskikini_jeuri maana nyumba na wenyewe na wewe umeamua niishie sebuleni. Ngoja nizowee kwanza hapa.
 
Nimekuelewa Mtazamaji, hili ni jukwaa la wana Jamii wa kila aina. Ngoja nianze kujichanganya tu mkubwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom