Hodi wana jf

mudansa

New Member
Feb 4, 2012
3
0
habari zenu wakuu,naomba mnipokee katika jukwaa ,nilikua msomaji mzuriii sana wa hili jukwaa sasa nimeingia kamili ili nifurahi zaidi ya nilivokua nafurahishwa na wana jf.nilikua najipanga si mnajua huku huingii kama huna hoja ...poa pamoja sana.:poa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom