Hodi Wana JF

bank

Senior Member
Jan 9, 2011
158
24
Jamani nimekuja rasmi naombeni ushiriakiano wenu katika nyanja zote.
Nilijiunga tangu mwanzoni mwa mwezi nilisahau kujitambulisha.

Thank you in advance.
 
BANK yenyewe ndio imeanza nahitaji mfungue account halafu tutaanza kukopesha
 
Jamani nimekuja rasmi naombeni ushiriakiano wenu katika nyanja zote.
Nilijiunga tangu mwanzoni mwa mwezi nilisahau kujitambulisha.

Thank you in advance.

Weeeeeeeeeee....bank gani hyo inasahau? ................sasa huku ndo kwenyewe kwa wasahaulifu kama wewe,Karibu sana Bank
hutasahau tena................:welcome:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom