BUNDI WA MJINI Member Jan 23, 2012 41 9 Jan 23, 2012 #1 jamani nami nimekuwa mmoja wenu, naomba ushirikiano wenu
Katavi Platinum Member Aug 31, 2009 41,983 12,702 Jan 23, 2012 #3 ......."ndege wote waimbe, akiimba bundi uchuro"....... Karibu sana, hope hutaleta uchuro humu ndani!
......."ndege wote waimbe, akiimba bundi uchuro"....... Karibu sana, hope hutaleta uchuro humu ndani!
NICK2275 JF-Expert Member Oct 31, 2010 3,931 918 Jan 24, 2012 #6 kuna tofauti kati ya bundi wa mjini na kijijini? karibu bro