Hodi wana Jamii

Gunda

New Member
Aug 1, 2008
3
0
Hello great thinkers, I am very happy to join you in this forum. Nipokeeeeeeni jamani
 
Nimefurahi kujiunga na wana - Forums, tafadhali nipokeeni popote
Pale mlipo ni,
Kama mwenzenu, labda kama mzee ki-umri kupita wana- Rorums wote,
Naweza kusaidia labda mawazo kwa vijana wote na wazee wenzangu pia.

Ni mimi,
Mwana -Busara.
 
Karibu but kitendo cha wewe kujiunga humu hakikufanyi wewe kuwa great thinker,kuwa tayari kujifunza na kuchangia.sio wote humu ni great thinkers.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom