Japo nipo kitambo lakini niliingia bila kubisha hodi sasa leo narudia hoooodiiiii
Inategemea wewe unatokea wapi,usukumani au unyamwezini.Mkuu hivi huwa ni obeja au wabeja
Japo nipo kitambo lakini niliingia bila kubisha hodi sasa leo narudia hoooodiiiii
Ngw'imana?Ingelaga duhu ilombo lyane!!! tolemo
Sasa mkubwa vipi,mie ni dume bwana usije nijengea mazingira ya kukameruniwa
Mulishene abang'weliJapo nipo kitambo lakini niliingia bila kubisha hodi sasa leo narudia hoooodiiiii