Hodi mmu

Karibu sana mgeni! Utaratibu wetu ni hivi; unaandika majina yako halisi yote matatu, umri wako, mahali unapoishi, namba yako ya simu na anuani ya posta, marital status pamoja na kazi yako ili siku ukipatwa na shida iwe rahisi kukusaidia kwa sababu we ushakua chama letu!!! Unakaribishwa sana mheshimiwa!
jina halisi:sharobaro a.k.a diamond
umri:18yaz oldi
makazi:chole rodi,masaki
tel:112
marital staus:semi-married
kazi:deiwaka jf
naomba mnipokee mmu
 
jina halisi:sharobaro a.k.a diamond
umri:18yaz oldi
makazi:chole rodi,masaki
tel:112
marital staus:semi-married
kazi:deiwaka jf
naomba mnipokee mmu

We nae ukiyavutaga, akili yako huwa unaijua mwenyewe tu!!! Msalimie mama Koku!
 
Usijali mwanakwetu, dada yako mkubwa alishanipatia details zako. Mwambie akupe pasiwedi uweze kuziona, ila huwezi kufanya changes bila ruhusa maalum!!

Hahahahaha! umenichekesha mpaka bac!haya bwana mie wala ctaingilia kazi yako!
 
jina halisi:sharobaro a.k.a diamond
umri:18yaz oldi
makazi:chole rodi,masaki
tel:112
marital staus:semi-married
kazi:deiwaka jf
naomba mnipokee mmu
Bishanga una vituko wewe eti 'marital status:semi-married'
Tufafanulie mkuu maana ya semi-married
 
Back
Top Bottom