Hodi, mjasiliamali mali ndani ya nyumba

Respect

Member
Jun 24, 2009
28
0
Ndugu zangu wote hamjambo humu ndani?
Najiunga rasmi kundini, lakini mimi niko tofauti kidogo kwani "ntabase" kwenye jinsi JF itakavyotunisha kamfuko kangu, nimeona kuna resources kibao humu na hazitumiki na watu tunalia njaa. Mie kila ninachikiona nakitafutia tafsiri ya pesa, pesa! but clean money.
 
Respect, mbona unaingia kwa mkwara mzito namna hiyo. Ok karibu ndani ya JF - "The Home of Great Thinkers"
 
...."ntabase" kwenye jinsi JF itakavyotunisha kamfuko kangu.....!

Heeee! initially I thought unataka kumaanisha ''Jinsi JF itakavyotunisha mfuko wake''....kumbe wako tu.....aaah bana.....we need michango hapa as well...angalia signature yangu!

BWT: Karibu sana JF.....!
 
Ah, haya bwana! lakini JF inakila dalili ya kuwa na afya njema kuliko mimi.
Kwa sasa nasaidia wenye afya mbovu zaidi yangu...
Inshallah, naamini kwa ujasiliamali wangu JF itanitoa tu, hapo usijali sitaitupa na ninakuhakikishia ni ni kitambo kifupi tu kijacho!

Karibu..
 
karibu jamvini mkuu. ila kama sisi tumelala kutafuta hizo pesa tunaomba utuamshe

Inawezekana tukawa sawa na wasukuma waliopewa gololi wachezee na wale wazungu wakachukua mawe yao.

Hata hivyo karibu sana.
 
Inawezekana tukawa sawa na wasukuma waliopewa gololi wachezee na wale wazungu wakachukua mawe yao.

Hata hivyo karibu sana.

Asante kwa kunikaribisha! La Wasukuma hapana sio hivyo, naamini tukiunganisha bongo zetu, lazima pesa zije tu.. mbona baado milango tele iko wazi!! haitumiki kabisa watu tunang'anga'nia mmoja tu!

Karibu....
 
Hahahaha clean money. Kama ni kweli basi ubarikiwe

Amina, unajua wanadamu wengi tunaakili sana...ila tunazitumia kwa mambo tofauti kabisa yasiyo tuletea tija yoyote maishani...na yanafanikiwa....

Karibu...
 
Asante kwa kunikaribisha! La Wasukuma hapana sio hivyo, naamini tukiunganisha bongo zetu, lazima pesa zije tu.. mbona baado milango tele iko wazi!! haitumiki kabisa watu tunang'anga'nia mmoja tu!

Karibu....

Mlango upi huo mmoja tunaong`ang`ania?
 
Back
Top Bottom