Hodi JF

karibu sana, hapa jamvini:
Welcome Note: Hapa huwa tunagongeana thanx, like n.k kama unavyoziona, ukipenda point usisite kusupply hivyo vitu. Kikubwa zaidi tunaavoid sana mambo ya udini,ukabila,ushoga na mengineyo...mengine utayajua tu siku za usoni.
 
Karibu Mkuu! Umewaachaje FB hawajambo? Karibu ndani angalia usiguse au kushika chochote humu bila ruhusa ya wenyeji. Hasa mlango ulio mwisho chini kabisa ya jengo. Karibu sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom