Hodi Jamii Forums

karibu saaaaana.......kumbuka mkono mtupu haulambwi cahngia JF ikue.....
 
Nafurahi kujiunga nanyi kwenye jamii forum.Nasema Hodi.
Karibu sana, lakini ukumbi huu ni kwa ajili ya matangazo ya nafasi za kazi na tenda. Kuna ukumbi rasmi wa utambulisho. Hata hivyo, nami najiunga na wenzangu katika kufurahia kujiunga kwako na JF.
"Kupotea njia ndio kujua njia". Karibu.
 
Karibu sana mkuu jisikie huru kuchangia mada mbalimbali hapa jamvini.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom