VoiceOfReason
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,194
- 1,355
Samahani nilikuja wakati wa uchaguzi, samahani sikufanya busara kupiga hodi kwanza.... Hamjambo ndugu zangu?
Mh!wewe acha usanii unaingia,unakaa tena kwa muda mrefu na baadaye unapiga hodi.Je hii ni mila na desturi ya kabila gani?
Ahahahaaaaah karibu sana mkuu.............Nilipitiwa ndugu yangu... nilikuta kuna mambo ya uchaguzi humu ndani nikapitiwa nikajikuta nimeshaingia