hodi jamani humu ndani!

mchakachuaji192

JF-Expert Member
Oct 19, 2010
366
68
Ndugu jamaa na marafiki napenda kubisha hodi humu ndani kwa moyo mmoja naomba kukaribishwa na mlioko humu ndani kwa ushirikiano wenu na kuwa pamojakatika uchangiaji wa hoja mbalimbali, nawatakia majukum mema na tuendelee kuwa pa1 ktk ujenzi wa nchi yetu, love you all, pia ningependa kujua yaruhusiwayo na yasiyoruhusiwa ndani humu just for future reference
 
Karibu mchakachuaji, soma hapa

1. https://www.jamiiforums.com/habari-...10851-how-to-use-jamiiforums-effectively.html

2. https://www.jamiiforums.com/mahusia...7-you-must-read-this-tafadhali-soma-hapa.html

3. https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/18042-jamiiforums-rules.html

4. https://www.jamiiforums.com/mahusia...miiforums-msimamo-wetu-na-maelezo-kidogo.html

USITUMIE LUGHA CHAFU TAFADHARI
 
isije ikawa hata hii hodi umeichakachua - anyways karibu:A S-frusty:
 
Baada ya hodi nini cha kwanza utafanya hapa JF? Pale kwenye poll au? Kama wewe ni Mchakachuaji 192 hao 191 wako wapi? Je, kuna wengine zaidi ya 192?
 
Baada ya hodi nini cha kwanza utafanya hapa JF? Pale kwenye poll au? Kama wewe ni Mchakachuaji 192 hao 191 wako wapi? Je, kuna wengine zaidi ya 192?

mkuu wa kaya baada ya kupewa karibu niligonga pale kwenye poll na kubofya kwenye kitufe cha Dr wa ukweli pale
 
[mwenye nyumba hukuwepo ndo maana niliishia kibarazani kukusubiria]

karibu sana!nilitaka nikukaribishe kwa utani kidogo!
 
Karibu mwaya tuchakachue. Mi niliingia humu kichwa kichwa basi hata huu mjengo siujui vizuri, nikiwa na maswali sijui niulizie wapi na kwa jinsi nilivyo zuzu nimetafuta ukurasa wa "maswali na majibu" sijauona basi nimekaa hapa nimekata tamaa huku nikiangalia mpunga wa babu waliwa na videge. Jamanai namtafuta Invisible au yeyote anayeweza kunipa visa ya kuingia kila pahala hapa maana kuna maeneo mengine nikitaka kuingia naambiwa sina visa. Hivi humu kuna chat room? Iko wapi? Dah kweli mjini shule!!!!
 
Back
Top Bottom